Hii issue imekaa kiserikali zaidi nafikiri...inawezekana kuna mtu ameshachukua cha juu kuruhusu hayo malori yaende...ukitaka kujua nenda na lori yako kama haija kamatwa na hao polisi...na shida kubwa ni kuwa watu wanashida na tiba kwasasa hawataangalia usafiri gani
Nafikiri aunt Judy uko vizuri sana kwenye dini!!!!!!!!!Lakin usiwe kama tomaso alitaka lazima aone makovu ndoa amin kuwa huyu ni bwana yesu...hii ni iman bwana ningumu kumbadilisha mtu.Na ukitaka kujua kuwa iman ni habari ingine ongea na mtu alieenda Loliondo na akashuhudia alichokipata
Cha kushangaza pia ni kuwa Babu wa loliondo hakuwalazimisha watu kwenda wala hakupiga mbiu kuwaambia watu waende...waliopona ndo wametoa ushuhuda,wacha kila mtu ajaribu kwenda...HAKUNA MTU ANALAZIMISHWA JAMANI:panda:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.