Search results

  1. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    huyo Blackpool ndo mkuda kuliko wote
  2. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu habari ya mchana, nataka kufuta accounts za SPORTYBET nisaidien namna ya kufanya
  3. Nasri Benson

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    kuna series flan hv naitafutaga sana na sijawah ipata inaitwa Korea Secret Agent nadhani ni ya 2011 picha inaanza kuna mzee aliachaga kazi yuko porini anafuga ng'ombe kuna mtu alitumwa na Helkopter kumfuata, mwanzoni walianza kuwatraini vijana baadae walianza kupewa mission nakumbuka jina moja...
  4. Nasri Benson

    Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

    mwamba sio bahili yupo sahihi unaweza kuta mwanaume yupo serious na mahusiano na mwanamke kapenda pia lkn changamoto ni vizinga na timing zake inaweza kuwa kweli ana shida lkn anaitoa muda gani, ukutane na mtu kwa mara ya kwanza then uanzishe relation baada ya siku mbili vizinga vinaanza hakuna...
  5. Nasri Benson

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    kikuu wanafikisha ila quality ndo kuna kupata na kukosa naomba kuuliza nani amewahi kuagiza na amazon au ebay anipe experience kidogo
  6. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ndo maan nlisema siku hiz mpk umle kanji ni kazi sana imagine odds ya 1.03 inachana kabla ya beting company kuanza kuingia mpk kudhamini mpira mambo hayakuwa magum hv mfano SPORTYBET wanasponser Madrid muda mwingine nadhan wanarudisha faida ili wasitoke kwenye mstari baada ya vipigo vingi ndo...
  7. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    usenge tu ukiweka under inatoka over na ukiweka over inatoa under yan vurumai ili tu mtu upigwe kuna gem nmewahi ipa under 4.5 mpk ht 3-1 leo nmeweka dc ya 12 hola mfano bvb yaan vulumai sometimes yes kubet na bahati vina mahusiano
  8. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nataka kuja na idea flan hv sijui kama itafanya kazi( ni maoni) japo inataka mtaji mkubwa unless otherwise itakuwa ni kupoteza muda, ni kutengeneza game 10 mpaka 20 na kutumia option za kujilinda sana like kumtanguliza mtu goli 5 au mfano city anacheza na soton unampa city or under/over...
  9. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wanuie tu watu hatujaanza leo kulost misim 6 nyuma mikeka ilikuwa inaeleweka na kujilipua laki ilikuwa sio shida lkn nowdays odds ya 1.03 inakuchania vimia mia acha viende tu sema kinachotuumaga sio stake ila kile tunacho tarajia kuwin
  10. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha litupitie tu tushazoea
  11. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    huu mkeka ukitoa lazima mtu utulize roho show ilianzia jana kwa man u under 5.5 mpk dakk ya 80+ 2-3 na wanashambuliana hatar leo tena ATM tia maj tia maji ht 2-2 mara paap kaongezewa,, aisee hii biashara inatesa sana
  12. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Rangers wajinga sana dadek zao
  13. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    7B0DBE0 tujaribu odd 6 za mapema hizi wakwetu
  14. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hii kampuni haina bonus lkn option zake nyingi zinachezeka lkn pia odds ni kubwa nafikiria kurudi na huku labla lolote linaweza tokea#BETWAY mfano mdogo ni huu hapa
  15. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hapana kaka ni matangazo kwa ajili ya kukuvuta mpenzi mtazamaji lengo lao kuongeza wateja maokoto yaongezeke kama wahuni wanaedit ili wakuuzie odds na wao the same
  16. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nimekuelewa mr Pipa kwa wanao wafaten pm ni sawa nikadhan ndani ya jamvi maan inakuwa ngumu unakuta umecopy code 50 mfano zimewin 2 kujua ni nani aliituma ndo kipengele kwa hao hata ukiwaweka wazi ni sawa maan mpk mtu anakuja pm means hiyo tayari ni biashara#samahan kwa kukuelewa vibara Mr
  17. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ukitaka mchango katengeneze chanel telegram uwatapeli,kwamba wewe huchukui code za watu na zikatiki je huwa unawakumbuka?? point ni kwamba tuache tamaa ndo maan huu uzi haiuzwi mikeka na vipi kama naww tukisema umetulisha matango pori utawalipa watu stake zao?? next time ukiamua kusaidia mtu...
  18. Nasri Benson

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    leo nlikuwa na slip 23 mpk sasa zote zimeenda kanji SHIKAMOO
Back
Top Bottom