Search results

  1. I

    Inawezekana tunadanganywa na vyombo vya habari vya magharibi?

    Copy kutoka twitter: Ciao Da Vinc "๐—ก๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถn, ๐—ป๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ต๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐˜๐—ฎ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐จ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐—ป๐—ฎ ๐—ท๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‚๐—ธ๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ถ. ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐ฎ ๐—จ๐—ณ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜‡๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‡๐—ถ๐—ถ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ!" Mwanajeshi wa zamani wa Ufaransa Adrien Boke, mwandishi wa kitabu "Get up and go thanks to science", alikwenda Ukraine kwa misheni ya...
  2. I

    Feminist njooni mtetee haki za wanawake kwenye hili suala la vita ya Urusi Vs Ukraine

    Kutoka Ukraine:Ukraine imepiga marufuku wanaume wote wenye umri wa miaka 18-60 kuondoka nchini humo, ikisema hatua hiyo ni kuhakikisha ulinzi na mahitaji ya dharura. Marufuku hiyo itakuwepo mpaka kumalizika kipindi cha hali ya hatari kilichotangazwa jana. Mdau twitter:Hii haijakaa sawana kwani...
  3. I

    Nafikiria kusoma Diploma ya Meno

    Habari ya muda wadau wa elimu. Mimi ni kijana wa miaka 26 na nina Diploma ya Clinical Medicine ambayo nimehitimu 2020..tangu nipo mtaani kufanya kazi sehemu mbali mbali(vijiwe) nimejikuta sina chochote cha maana ninachofanya kwa sababu malipo madogo na kazi zenyewe za kubabaisha sana. Nina...
  4. I

    Mnaoomba Vyuo vya Afya muwe makini hasa vya 'Private'. Wenzenu wa Muyoge wanalia

    Habari wakuu Bila kupepesa macho ujumbe huu uwafikie wote wanaotarajia kuomba vyuo mwaka huu, hizi kozi za afya kuna vyuo vya priavet ila sio vyote vina mambo ya hovyo na yasiyofaa kabiaa kwenye upande wa masomo. Binafsi kuna rafiki yangu anasoma chuo cha afya Muyoge kilichopo Mafinga Iringa...
  5. I

    Je, NACTE wamebadilisha system ya transfer? Naomba ushauri katika hili?

    Habari wanandugu, Nije kwenye point moja kwa moja, mimi nilikua nafuatilia uhamisho wangu wa kutoka chuo fulani cha private kwenda chuo cha serikali. Mimi nilimaliza mwaka wa kwanza na niliscore GPA 3.4 clinical officer nilipoingia mwaka wa pili nilisoma kidogo tu ila nikashindwa kumaliza ile...
  6. I

    Lugalo Military Medical School

    Habari wakuu Kwa mwenye ufahamu wa ada halisi ya Lugalo atuambie maana nimepata joining yao inaonesha ada ni zaidi ya milioni 2 kwa mwaka,halafu kwenye guide book ada ni 1,130,400 sasa najjuliza ipi sahihi maana kama ni kweli hiki chuo kina ada ya zaidi ya 2milioni basi haina haja kukiita cha...
  7. I

    Second Selection Nacte

    Naomba kujuzwa matokeo ya second selection kwa diploma na certificates yatatoka lini?
  8. I

    UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

    A/alyekum na Bwana Yesu asifiwe Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenzenu nilikuwa nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili. Siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shughuli kwa bahati mbaya au nzuri akapata hedhi hivyo hatukufanya kitu akaishia kuninyonya tu uume wangu...
Back
Top Bottom