UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

idrissi

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
512
432
A/alyekum na Bwana Yesu asifiwe

Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenzenu nilikuwa nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili. Siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shughuli kwa bahati mbaya au nzuri akapata hedhi hivyo hatukufanya kitu akaishia kuninyonya tu uume wangu lakini sasa zimepita siku 25 tangu tukio lile na yule binti ana ngoma nimefahamu siku 15 zilizopita nimepima zaidi ya mara kumi hospitali tofauti wameniambia niko salama ila natakiwa nikae miezi 3 ndo nipime jamani sina amani usiku nikilala ndoto za ajabu naishi kwa wasiwasi hata nikipata kipele nadhani ni ngoma yaaan nipo kwenye mateso makubwa. Naombeni mniombee sina raha kabisa

Nawasihi sana vijana tutulie au ukipata mtu mpime kwanza kabla ya kushitiki tendo. UKIMWI upo mimi tu bado sijajua kama nimepata au la lakini napata mateso. Je, mwenye kuupata anajisikiaje?
 
A/alyekum na Bwana yesu asifiwe...ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..mwenzenu nilikua nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shuguli kwa bahati mbaya au nzuri akapata hedhi hivyo hatukufanya kitu akaishia kuninyonya tu uume wangu lakini sasa zimepita siku 25 tangu tukio lile na yule binti ana ngoma nimefahamu siku 15 zilizopita nimepima zaidi ya mara kumi hospitali tofauti wameniambia niko salama ila natakiwa nikae miezi 3 ndo nipime jamani sina amani usiku nikilala ndoto za ajabu naishi kwa wasiwasi hata nikipata kipele nadhani ni ngoma yaaan nipo kwenye mateso makubwa..naombeni mniombee sina raha kabisa

Nawasihi sana vijana tutulie au ukipata mtu mpime kwanza kabla ya kushitiki tendo ukimwi upo mimi tu bado sijajua kama nimepata au la lakini napata mateso je,mwenyekuapata anajisikiaje?
Sasa tukuombee ili ufanye nini mkuu. Usipate Ukimwi baada ya zinaa? Au usirudie tena kutenda na kutamani zinaa.

Mimi nakuombea usirudie tena zinaa inayoweza kukusababishia UKIMWI na siku ukirudia Ukimwi ukupate sawasawa.
 
chance ni ndogo kwa kunyonywa mb.. labda kama alikuwa na vidonda mdomoni na wewe una michubuko kwenye mashine hapo hukwepi
 
Shetani anahusika hapo,badili muelekeo umrudie Mugu wako na uache kuishi maisha ya dhambi...
 
Duuu aisee subiri na mm nikapime mana magoma haya nayochukua bila kupima yanaweza niletea maruerue
 
Malue lue unajijenge wewe Unaanza kujiundia magonjwa ya kifikra mwisho yanakuwa yakuonekana magonjwa ya msongo wa mawazo hatali sana
Acha kuwaza jichanganye kwa watu usiangalie Tv computa au kukaa peke yako lasivyo BP MADONDA YA TUMBO NGOZI KUCHALULA NA MENGI
POLE MUNGU YUKO NAWE KAMA UMEAMIN ZAID SEMA AMEN
 
Malue lue unajijenge wewe Unaanza kujiundia magonjwa ya kifikra mwisho yanakuwa yakuonekana magonjwa ya msongo wa mawazo hatali sana
Acha kuwaza jichanganye kwa watu usiangalie Tv computa au kukaa peke yako lasivyo BP MADONDA YA TUMBO NGOZI KUCHALULA NA MENGI
POLE MUNGU YUKO NAWE KAMA UMEAMIN ZAID SEMA AMEN
Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom