Sija-compare ila nimejaribu kuonesha mshangao. mashabiki wote kuwashupalia hao jamaa hapa jukwaani kila kukicha wakati binafsi sioni maajabu yoyote wanayoyafanya. wanamuacha mtu kama LINEX kaimba KIMUGINA Kilugha lakini nyimbo imeeleweka.
Na Ngalikihinja Nadhani umenielewa.
Habari zenu Waungwana,
Nimeona Bora niseme chochote kumpongeza Linex. Amini usiamini tunapozungumzia International standard kwenye music LINEX ni next level.
Huyu jamaa angekuwa na kihelehele cha wakina Diamond kuwashobokea wakina Kusaga sijui wakina luge... Basi leo tungekuwa tunazungumza...
Kipambizo cha mtindo kwenye element ya picha
Leo tutajifunza vitu viwili tu vya ziada na vya muhimu kufahamu kuhusiana na element ya picha. Kwanza ni jinsi tunavyoweza kutumia kipambizo cha mitindo kwenye element ya picha ili kuipa picha ukubwa unaotaka.
Kipengele hiki kitakuwa rahisi...
Baada ya kujifunza jinsi tunavyoweza ku-gawa kurasa yetu, sasa bado hatua chache tu, ili tuweze kumaliza kabisa kipengele hiki.
Tunafahamu kuwa, website yetu imekusanya mafaili mbali mbali ya taarifa. Mafaili yote ndani ya website yetu yanatakiwa kuonekana kwa mtumiaji kupitia file moja...
Slave Jaribu ku-connect simu itakubali, mimi mwenyewe nilipo-install ilionesha hivyo kwamba kuna part ya driver haijawa installed lakni ikadetect hivyo hivyo.
Mimi nili Install kwa kutumia guadline hii kutoka forum ya Hovatek:
Shefwaa Ulibonyeza shotcut ya ku-disable touch pad bila kujijua, kwenye laptop nyingi unatakiwa kubonyeza Function button (fn)+Padlock key ambayo kwangu mimi ni F3, na dell nyingi zipo hivi.
Kuifahamu padlock key kwenye laptop yako angalia kwenye button enye F1-f12 button yenye ki-nembo cha...
Mwisho usisahau ku-clear catch ya browser unayotumia, Favicon inaweza kuwa imebadilika kwenye server lakini browser bado ika-display favicon ya zamani.
Jongoo Mpendawa2 Unaonekana mgeni kwenye haya mambo, nakushauri uanze na Office package, kwa hizo shughuri anza na Publisher, itakurahisishia kwa kuwa utaanza na templates then utakuwa unacostumize taratibu taratibu baadae utapata experience na idea zaidi where to go.
Ukitumia software...
Hii nchi inatia Hasira, yaani sekta nzima ya makompyuta inaonekana kama ukatuni katuni fulani usio kuwa na umuhimu wowote.
Yaani serikali inajitoa ufahamu kuwa ICT ndio key ya karne ya sayansi na teknolojia, Hapa kwentu Muziki unathaminiwa zaidi kuliko Sayansi ya kompyuta inasikitisha sana...
Mpaka sasa tunaweza kutengeneza web page ambayo imegawanywa katika maeneo matatu kwa mpangilio maridhawa.
Ngoja tumalizie vipengele vichache vilivyo baki na punde tu, utagundua kuwa unauwezo wa kutengeneza muonekano wa website yoyote duniani, lakini kikubwa zaidi utaweza kutumia ujuzi huu...
http://youtu.be/hHhPmRHvMRI
SWDC Hii Kozi inayohusia na taaluma ya uundaji na utengenezaji wa tovuti katika viwango vinavyokidhi teknolojia ya karne ya ishirini na moja.
Hii ni kozi ambayo itakupa Taaluma mpya itakayokuwezesha kuingia kwenye soko jipya na linalokuwa kwa kasi la teknolojia za...
Kabla ya kuingia kwenye Kipengele kinachofata, leo tutamalizia maeneo mawili muhimu ambayo tuliyaacha kipolo wiki hii, Ambayo ni eneo la kati la website pamoja na eneo la chini.
Kugawa maeneo yaliyobaki kwenye website yetu haliwezi kuwa zoezi gumu tena kwani tutaenda kutumia elment ileile ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.