Search results

  1. MWEMBEKIUNO

    Watu wenye iPhone wanafaidi sana

    Iphone ni simu nzuri sana, Siku nikipata hela nitanunua na mimi hiyo
  2. MWEMBEKIUNO

    Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Gari ya chini sijawah kuielewa, mzee aliniachia defender yake mwaka 2012 hadi leo ndio gari yangu na sina mpango wa kununua nyingine maybe kuiboresha hii
  3. MWEMBEKIUNO

    Pikipiki ya 110cc naweza kusafiri nayo umbali mrefu?

    Yah natumia one hour barabaran nakua nishafika
  4. MWEMBEKIUNO

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Nataka nichukue dell latitude 7280 vipi itakubali kucheza
  5. MWEMBEKIUNO

    Naombeni kufundishwa kuendesha Pikipiki

    Ni simple sana, Mimi nilifundishwa siku 1 tu tena nusu saa tu nikajua
  6. MWEMBEKIUNO

    Naombeni kufundishwa kuendesha Pikipiki

    Kusimama utabana cruch na kukanyaga brek
  7. MWEMBEKIUNO

    Naombeni kufundishwa kuendesha Pikipiki

    Unaiwasha, alaf unabana cruch ( ipo kushoto) alaf unaweka gear, utavuta mafuta taratibu wakat unaachia cruch slowly itaanza kwenda yenyewe
  8. MWEMBEKIUNO

    Jinsi ya kutumia simu yako kama 'Remote Control'

    Kwahyo hata kama simu haina infared port itakubali..?
  9. MWEMBEKIUNO

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Mwamba ana kila kitu unachagua unataka ipi
  10. MWEMBEKIUNO

    Pikipiki ya 110cc naweza kusafiri nayo umbali mrefu?

    Nafanya kazi kariakoo naishi chalinze natumia boxer 150 mdomo wa mamba kila siku naenda job na kurudi, so mimi naona ukiipata ya design hii utafika vizuri tu
  11. MWEMBEKIUNO

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomba ya samsung A51 5G
  12. MWEMBEKIUNO

    MSAADA: Nini dawa ya chunusi usoni?

    Hapana ishu sio kukua kwan wangap ni wakubwa na wana chunusi..? Chunus ni uchafu na mafuta yaliyojisukunya chini ya ngozi so inatakiwa uisugue ngoz ili iruhus uchafu utoke
  13. MWEMBEKIUNO

    Asikwambie mtu, Premio tamu

    Wataalam tuambien hii
  14. MWEMBEKIUNO

    TV gani nzuri na imara kwa ajili ya biashara ya kuonesha mpira?

    Chukua TV ya boss inatoa picha nzuri sana cha msingi uwe na waya wa hdmi tu
  15. MWEMBEKIUNO

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Nenda instagram mtafute kareem design anayo tena iliyo na moded kabisa
Back
Top Bottom