Search results

  1. papaa masikini

    Imekuwaje Kiss FM kuanza kutumia Kiswahili?

    Kipindi hichi sintokaa niisaha Kissfm, ilikuwa moto sana. Claudia Mayanka popote ulipo missing you sana.
  2. papaa masikini

    Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Halafu ukute siku kadhaa zilizopita kuna mwana kikundi ulimweleza una mpango wa kukopa hela pahala ukamfungulie wife biashara na bado hujafanikiwa![emoji848]
  3. papaa masikini

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Internet yenu kwa KIBAHA mkoa wa Pwani ni tatizo. Fanyeni utaratibu wa kurekebisha hill ksma lipo nje ya uwezo wenu ni vyema mkatoa taarifa kwa wateja wenu.
  4. papaa masikini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro atangaza kuachana na chama hicho! Ajiunga na CCM

    Habari za Leo wakuu,Taarifa za kwenye mitandao ya kijamii imesambaa taarifa ya Naibu Katibu Mkuu wa CUF Julius Mtatiro kujiunga na CCM. Nini kimewapata wakurya jameni?
  5. papaa masikini

    Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

    Mambo ya Kirua Vunjo haya, hawako nyuma. Hiyo ni Hospital mpya ya kisasa kabisa, inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
  6. papaa masikini

    Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Aroo inaonyesha wanakukera sanaaa nuraaa... [emoji851]
  7. papaa masikini

    Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

    BABA MZAZI Lawena Nsonda... halafu huwa anamalizia na Kibwagizo chake cha "Eeeeeh jamaniiii... " Nimewahi fika kwake huyu yupo vizuri Ana miradi take fresh kabisa.
  8. papaa masikini

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Uchaguzi wa Madiwani unaoendelea sehemu mbali mbali Tanzania,imetiwa doa na wanachamw wa CCM waliyovaa uhusuka wa watu wasiojulikana kwa kuwashambuliwa na mapanga wasimamizi wa chama cha upinzani CHADEMA huko Arusha.
  9. papaa masikini

    KAFULILA Mbashara Chanell 10 Leo!

    Mkuu jina lako... Linaendana na Comments yako!
  10. papaa masikini

    Mtangazaji wa Clouds tv 360 awataka Wasomi wadaiwa HESLB wakauze Ice Cream walipe deni

    Wengi huamini kuwa, kichaa nimpaka awe anavaa chupi kichwani... Lah hasha! Vichaa tunakula nap, kulala nao, na wengine ni ndugu zetu wanatangaza huko Cloudstv360
  11. papaa masikini

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Kama ni tatizola homoni,tiba yake ni rahisi,kuna aina ya sindano mwanamke huwa anachomwa,inamaliza tatizo na hatimae mwanamke anabeba mimba nakujifungua!
  12. papaa masikini

    Watanzania waishio USA wakutana kwa michango ya mazishi ya Sanga

    Wabongo wengi na baadhi ya waafrika waishiyo mataifa makubwa kama Uingereza na Marekani,wengi wanafanyishwa ushoga babangu, ni sheeedah!
Back
Top Bottom