Search results

  1. H

    Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Kwahiyo mkuu Faiza sio mwanamke na hana haki na wanae?
  2. H

    Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Hata kama Faiza mtata ila Happy mchokozi wewe mwenzako hataki na watoto wake wewe unawapost wa nini si upost wako tu.
  3. H

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Hebu pumzika dada huendi popote na hamna aliyeenda akarudi ebooh
  4. H

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Mkuu dini zote tunamuabudu Mungu na sio kwamba kwa sababu mtu ni dini flani basi ataenda mbinguni isipokuwa matendo yako yatakupeleka na uamini wako,dini zote zinahubiri mambo yaleyale hivyo kama una amani zaidi kwenye ukristo basi fata moyo wako.
  5. H

    Tahadhari kwa wazazi wa watoto wa Panya Road, nina bastola

    Mkuu kwanini wasiende kuwapora na kuwaumiza viongozi waliowaibia hizo future zao,kwanini waje kwetu sisi waganga njaa ambao tumeumizwa na mfumo kwa pamoja
  6. H

    Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama anaona ni rahisi eboh
  7. H

    Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

    Yaani chakula changu mwenyewe nipangiwe na mtu nisile kwa masuala yake binafsi kheeee.
  8. H

    Tatizo la kula udongo: Fahamu visababishi, madhara yake na mbinu za kuacha

    Mimi nilikuwa nakula japo sio mwingi lakini nilikuwa nakula mpaka nilipopata mimba nikachukia mpka leo sina hamu.
  9. H

    Uzi wa vyakula tu

    Kama ilivyo ada ya jumapili
  10. H

    Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

    Kuna mtu alienda Marekani kwa dada ake walipofika Mall dada ake akamwambia nnavyokujua wewe pamoja na Watanzania tununue sahani moja tutakula wote,akashangaa Mmarekani mwingine anakula sahani nzima. Nadhani sisi hatuli sana ila chakula tunachokula ni content za aina moja. Hebu fikiria ambavyo...
  11. H

    Uzi wa vyakula tu

  12. H

    Uzi wa vyakula tu

    Karibu mkuu
  13. H

    Uzi wa vyakula tu

  14. H

    Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

    Mimi nakushauri kama mwanamke niliyeolewa ongea nae umwambie hupendi na kiafya kuchelewa kula sio vizuri halafu chunguza kinachosababisha achelewe kupika ukute kazi nyingi,kama ni hivyo tafuta namna ya kumpunguzia kazi lakini kama ni makusudi na inakukera sana akichelewa wewe uwe umelala ili...
  15. H

    Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

    Sasa mkuu hapa tunatumia majina fake na hata yeye hajamtaja mkewe kwa majina kamili na by the way huku ni sehemu ya kutoa ya moyoni mana hamjuani na inatoa ahueni kuliko kwenda kumtangaza kwa watu live.
  16. H

    Naomba kujuzwa maana ya 'Termination without notice'

    Hamna termination bila notice hilo ni kosa lazima mchakato ufanyike kuthibitisha tuhuma na unatakiwa kupata stahiki zako zinazopaswa, nenda CMA watakusaidia.
  17. H

    Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

    Yawezekana kabisa mkuu,imagine kufanya kitu kile kile kila siku inachosha na inakuwa haikupi maana ya maisha halafu kingine kazi za nyumbani zinachosha sana tena na watoto wawili[emoji1544]
Back
Top Bottom