Search results

  1. Gaspare Mbile

    Kufumaniwa na mke wa mtu ni kosa kisheria?

    Pole na miangaiko wanajanvini! Naomba kujua kuhusu kesi ya kufumaniwa na mke wa mtu, aidha kwa kujua kwamba mke wa mtu au kutojua!, je ni kosa kisheria? Inaangukia katika kosa gani la kisheria? Jinai au?, Nimekuwa nikisikia kesi nyingi za watu kufumaniwa na wake za watu kwenye jamii na pengine...
  2. Gaspare Mbile

    Kuhusu 'scholarship' za jumuiya ya Madola

    Habari wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,siku moja katika pita pita zangu kwenye mtandao nilikutana na tangazo katika tovuti ya wizara ya elimu kuhusu nafasi za kwenda kusoma nchini Uingereza, Masters na PhD ambazo zinazaminiwa na Jumuiya ya Madola kama 'Full Sponsership'...
  3. Gaspare Mbile

    Je neno 'Picture' na 'Photo' yana maana sawa?

    Leo nimejiuliza sana nikatafakari ila sijapata jibu kuhusu hii kitu. Hivi 'Photo' na 'Picture' ina maana sawa au ni tofauti? Kama ni tofauti naomba kuelimishwa. Asante.
Back
Top Bottom