Search results

  1. mpare wa milimani

    Tuwe makini

    Habari zaleo ndugu zangu, kuna mtu Facebook anajiita bidhaa mtandaoni anadili na kuuza furniture,mikoba na nguo na namba za cm kaweka jamani nitapeli balaa,mi ni mmoja ya waliolizwa, lkn nashangaa anajiamini nini namba habadilishi na kaisajili kwa jina hilohilo la bidhaa mtandaoni, naomba aje...
  2. mpare wa milimani

    Pumu/asthma

    Habari za muda huu wapendwa,naomba mnisaidie kujua dawa za pumu kwa mtoto anamiaka7.
  3. mpare wa milimani

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Guys habari zenu,natamani single parents tukutane hapa tuzungumze na tujengane na wengine waunge undugu waunganishe familia,single+single waweza get1 pair[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]. Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
  4. mpare wa milimani

    Natafuta kazi, nimesomea Procurement and Logistics Management

    Wapendwa, Nina umri wa miaka 26, nimemaliza Diploma ya Procurement & Logistics Management 2014 katika Chuo cha Uhasibu (TIA) natafuta kazi zinazo-relate na fani yangu. Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom