Search results

  1. NIYOMBARE

    News Alert: Kuhusu kifafa.

    Habari wakuu. Ningeomba kuuliza kuhusu ugonjwa wakifafa,Ni kweli kwamba mwanamke anapokuwa na kifafa akipata mimba kifafa humuisha Automatic?
  2. NIYOMBARE

    Majibu ya serikali ni tusi kwa CAG.kama serikali iko sahii CAG ajiuzulu?

    CAG anaposema matumizi yake hayajulikani ina maana alimaanisha matumizi ya fedha ambazo hazijapokelewa(receivable) zitumikeje atakua ni mhasibu au mpiga mbizi? Mfano serikali imejitetea kati ya hizo 1.5trl kuna receivable 0.6tr, kwa CAG ni makusanyo ya cash ambayo anahoji imetumika wapi...
  3. NIYOMBARE

    Kigwangalla aidharau ofisi ya CAG

    Akijibu swali la nyongeza la mbunge Halima alilouliza kuhusu ripoti ya CAG kueleza kuna mabohari ya dawa hayana viwango, Mh Kigwangalla alianza kwa kusema anakanusha vikali sio kweli kuna mabohari hayana viwango. Wabunge wakamjibu ripoti ya CAG imesema akijibu kwa jazba kuwa "Hiyo ni ya CAG...
  4. NIYOMBARE

    Samaki na mengi yakusema ila maji mdomoni.

    Salamu wana chit chat wote. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,nimekuwa na duku duku langu ili mda mrefu sana Leo nalitoa. Mabint hawa wanaukonga moyo wangu sana kiasi chakushindwa kuvumilia. Honey Faith even saint(sina hakika kama nimepatia jina) Na Patience123 Kama mmewaiwa mnifaamishe...
Back
Top Bottom