Search results

  1. Ndunguru

    Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    Mabeyo tuna imani na ww pamoja na mwakibolwa
  2. Ndunguru

    Ciproflaxin ya India inatibu Typhoid vizuri kweli??? !!!! mbona dalili ni zile zile

    Ogopa sana typhoid, inasumbua sn hasa ukiwa na sugu, ni unahesabu miaka
  3. Ndunguru

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Yes, acheni siasa chafu za kusafishana nyie wote mnaojifanya wanaharakati uchwara wanasiasa midomo bila kichwa, zitto AMERAMBA MKENGE katika hili, amejikwaa mh. Ni binadamu. Ameacha maslah ya watanzania maskin sana, ameunga mkono maslah ya wabunge ambao ni well off, iitwe ni posho au...
  4. Ndunguru

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    uMEJIKANYAGA @ ustadh, mada ni zitto kuwa ndumi la kuwili. Mawazo kama "kwani zitto alizaliwa kukuonesha kila mwelekeo" ni upuuz na SIO POINT. Na kwa kauli hii ""zitto si msaafu wa vijana nchi hii wala siye QURAN AU BIBLIA kuna vijana wengi bado tunawangazia macho" inaonesha kuwa uwezo wako wa...
  5. Ndunguru

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Vzur, appreciated sir.. Wewe ni understanding, good
  6. Ndunguru

    Nafasi za jwtz

    Kimsingi kutokana na hali halisi ya no ajira na hii ndo tanzania yetu ,graduates tunao subiri kitaa 4 jw tupo kibao, wadau jaribuni kutembelea maeneo ya upanga mtuupdate
  7. Ndunguru

    Pete ya uchumba

    Dah brother huyo hicho ni choo cha kike,hamna kitu kama hicho.. Watanzania tumeuacha utanzania na tukaanza kufikiria kwa fikra za kigen.. Huo sio uafrica wetu!
  8. Ndunguru

    Nahitaji mpenz

    You can't be serious mmh!
  9. Ndunguru

    Tanzania's Hottest couples

    C lolote, kwa vigezo gan wao wamekuwa the bests na standard.... Sis kwetu ni upuuzi
  10. Ndunguru

    Je ni sahihi waziri yeyote kuikosoa serikali iliyoko madarakani

    Kiukwel wapo wachache lkn wengi wa mawazir hawajajitambua kwa nn wapo kwenye cabinet.. Zaid ya kuunga mkono hoja ya mrembo., hatutofika...
Back
Top Bottom