Search results

  1. mgesa

    Nahitaji mwanaume hanithi

    Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
  2. mgesa

    Hapa Kuna mapenzi?

    Habari! Naomba mnisaidie kuchanganua haya! Nna rafiki yangu yuko na mpenzi wake. Cha ajabu mkaka hamwambii nakupenda kama zamani na akimuuliza mwanaume anasema eti sio lazima kusema nakupenda ili kuonesha kua unampenda mtu. Kingine, huyu mdada hajawai kuonja ata senti ya huyu mwanaume... Mkaka...
  3. mgesa

    Magonjwa ya akili na tiba mbadala!

    Habari! Kumekua na uwepo wa vituo vitoavyo tiba mbadala nchini, ningependa fahamu kama hawa watu wanatibu magonjwa ya akili au wana limit ya magonjwa wanayoweza kuyatibu? Asante.
  4. mgesa

    Kuna watu machizi kweli! Kwa akili hizi tutapona kweli?

    Mdada hapo kaandika: Kondomu ni ya wanaume dhaifu, wanaume halisi wanagegeda fasta na kuchomoa/kutoa kabla hata UKIMWI haujagundua. #ukweli Duuuh!
  5. mgesa

    Hivi hii ni kawaida au?

    Habari!
Back
Top Bottom