Search results

  1. orthogonal

    Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Hilo jukumu aliwapa Lubuva 25.10.2015 baada ya kufanya figisufigisu , wala msiwabebeshe wapinzani huo mzigo. Komaeni safari ndiyo imeanza hata robo hamjafika.
  2. orthogonal

    Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Gifted brain at work again !
  3. orthogonal

    Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    Upande wa Kiss kuna yule jamaa thoby splash, alikuwa na base, hiyo base yake alikuwa ananata na lugha ya malkia mpaka unatamani jamaa aendelea kuongea tu.
  4. orthogonal

    Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    Samweli David Joseph mwana wa kiama "Uncle sam" aka the gramper, kipindi cha bunge la wasikilizaji. Daah ilikuwa poa sana, pia na yule Roy Mlaliki Maganga usiku wa mahaba na kipindi cha nimekusamehe lakini sitakasahau, hiyo generation sijui kama itakuja kutokea tena kwa RFA!
  5. orthogonal

    Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    Samweli kiama siku hizi yupo TBC FM
  6. orthogonal

    Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

    Sikilizeni nyinyi simba akitoka Zanzibar huwa anakuwa simba wa maonyesho ya Sabasaba "Jerry Muro"
  7. orthogonal

    Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

    Kimoja tu kama kile cha mapinduzi kinawatosha sana
  8. orthogonal

    Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

    Safi sana maana mikia akili yenu imejaa majungu tu
  9. orthogonal

    Sielewi kwanini Yanga inasajili kwa gharama na bado inaendelea kujiongezea gharama kwenye mechi

    Hamieni ligi ya Zanzibar, sasa mnashiriki nini na wakati mnajua Yanga ananunua waamuzi.
  10. orthogonal

    Kwanini baada ya makosa imebidi panga limshukie Dr. Possi?

    Wewe kweli akili zako ni kisoda
  11. orthogonal

    Lowassa aisoma namba mara tatu (3) CCM

    Huyu mzee naona anawapa kiwewe, kila siku mnafungulia thread mpya na bado hazionyeshi mafanikio.
  12. orthogonal

    Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!

    Kwamba hata bulembo amewazidi wanawake wengine wote ambao hawajateuliwa? Hapo ndugu yangu umeteleza.
  13. orthogonal

    Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

    Sijui simba mlienda kufanyaje Zanzibar maana mmekosa vyote, bingwa azam, mfungaji bora Msuva wa Yanga na kipa bora azam. Sasa nyie mikia fc mlifata nini huko?
  14. orthogonal

    Lowassa na Rais mpya wa Ghana, ni ugonjwa wetu Waafrika?

    Mkuu hata mwanafunzi wa first year undergraduate anafundishwa mambo ya citation na acknowledgement, nahsi huyu elimu yake itakuwa na walakini.
Back
Top Bottom