Search results

  1. njitile junior

    Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

    Soma uzi vzr. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. njitile junior

    Zanzibar yatangaza kuongezeka kwa wagonjwa 6 wa COVID-19 na kufikia 18. Kifo cha kwanza chatangazwa pia

    Msamehe uwezo wake wa kufikiri umemfikisha hapo,hata kuandika hajui ni zwazwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. njitile junior

    Sayansi ni zaidi ya dini; Corona yathibitisha

    Hiyo ni imani yako,ndivyo unavyoamini wewe usijaribu kutuaminisha tuamini unavyoamini wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. njitile junior

    Mkuu wa Gereza Segerea awajibishwe. Kaaibisha Jeshi, Serikali na Nchi

    Na wasio waoga wapo hosp wamevunjika viungo. Hii haipo sawa kwamba kuvunja sheria na taratibu za eneo husika ni kiashiria cha kutokua mwoga na kutii ni uoga. Acha hayo mambo ya kutuaminisha ujinga.wangekaa mita mia toka lango la gereza na wakampokea kiongozi baada ya kutoka sidhani Kama Kuna...
  5. njitile junior

    Mkuu wa Gereza Segerea awajibishwe. Kaaibisha Jeshi, Serikali na Nchi

    Labda hujaelewa vzr Hawa tayari walishatoka siku mbili kabla ya tukio.wakaungana na wanachama na mashabiki wengine kwenda kumpokea mwenyekiti wa chama akiwa anatoka gerezani. Inasemekana hapo ndipo walipojaribu kufanya fujo katika lango kuu la gereza na kilichotokea ndo hicho. Polisi walikua...
  6. njitile junior

    Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Bwana Ridhiwani mbaraka Mbona mzee wetu Mohamed said ameandika kitabu ambacho hajaacha kitu ktk historia ya Zanzibar. Unamtuhumu kwa usiyoyajua lkn inaonekana umeweka nia ya kumkosoa ndio maana hata hapo alipoandika kuwa yericko amecopy sehemu ya maandiko yake. Huulizi ameandika wapi ambako...
  7. njitile junior

    Hizi ni njama za kuwafuta Wazanzibar katika uso wa dunia

    Atakuwa anamzungumzia KARIA wa TFF
  8. njitile junior

    TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Aisee Alikua kichwa Sana huyo jamaa. Inaonekana namba zilikua hazimpi tabu sasa ilikuaje akashindwa kuzidisha na kutoa kwa mzee mwinyi
  9. njitile junior

    Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

    Suti zipo fresh tu, mambo ya vijana modo, kuna baadhi yao suit zimewakataa
  10. njitile junior

    Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

    Nimefurahia andiko lako la kuchekesha na panjabi zako. Kilichonifirahisha ni jinsi ulivyojitahdi kutunga hadithi na kuifanya kama tukio la kweli lkn pamoja na jitihada zote bado hukuweza kufanya ionekane si tukio la kubuni. Wewe ni pumba kuliko pumba zenyewe.
  11. njitile junior

    Zanzibar ni Non secular state?

    Sema tu.KAZI NGUMU MPE MNYAMWEZI
  12. njitile junior

    Zanzibar ni Non secular state?

    Wewe ndie mgonjwa wa akili ambae hujaelewa na husemi hujaelewa wapi?tumia lugha nzuri na ujue unachokitaka ndo mana ukawa Godzilla huwezi kuelewa.
  13. njitile junior

    Zanzibar ni Non secular state?

    Si kweli ndugu.hakuna anaelazimishwa kufunga,wengi hawafungi sababu jambo la kufunga linatokana na imani. Kinachopiganiwa zanzibar ni kuipata swaumu iliyo sahihi na ili ipatikane funga iliyo sawa ni lazima kukabiliana na yenye kufunguza.nafsi ya mwanadam imeumbwa na matamanio hivyo kula...
  14. njitile junior

    Kwani katika Kesi hii mlalamikaji ni Mtanzania (mwananchi wa kawaida) au Mtanzania (Mwananchi wa CCM)?????

    Kina nani wanaocheza na akili zako na wanajuana.jizungumzie wewe usituzungumzie na ambao hatujaelewa ulichomaanisha.
  15. njitile junior

    Napendekeza mabucha yote yawe yanafungwa Zanzibar siku ya ijumaa kuu

    Well...narudia tena ili unifahamu vizuri,waislam ni wengi zaidi ya wasio waislam kwa Zanzibar na waislam hao wengi wao ni wanzanzibari na wahamiaji wengine wakiwemo na watanganyika lkn pia wasio waislam ni wachache sana na ktk uchache wao wapo wazanzibar wachache na wahamiaji toka Tanganyika na...
  16. njitile junior

    Napendekeza mabucha yote yawe yanafungwa Zanzibar siku ya ijumaa kuu

    Nikusaidie kdg mdg wangu.Zanzibar asilimia 97 ni waislamu na hao ambao si waislam wengi wao si wazanzibar ni wakristo toka bara na kwingineko. Kufunga mwezi wa Ramadhan ni moja ya nguzo ama amri wamepewa waislam hivyo wazanzibar hawako tayari kuwaona wahamiaji wakila hadharan ktk mji wao.kumbuka...
  17. njitile junior

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    innalillah wainnailaih rajiun,hakika kwake tutarejea.....tangulia kibonde Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom