Search results

  1. DOFFA

    Mbunge Msigwa: Tususie bidhaa za wafanyabiashara wanaounga mkono ukandamizaji Demokrasia

    Watu aina ya Msigwa hawapaswi kupewa mwanya ndani ya nchi........sijui uzalendo na uchungaji wao.
  2. DOFFA

    Kiprotokali IGP anampigia saluti DC?

    Elewa maana ya saluti kwanza.......
  3. DOFFA

    Buriani Komredi Kingunge, Msomi wa TANU uliyelisomesha Taifa; Kizazi kilichoandaliwa kuongoza nchi yetu

    VP ZIto mbona hujaunganisha msimamo wake na harakati za chadema?na VP chadema wamemcare kuliko Lisu?
  4. DOFFA

    Dr. Slaa, umeketi upande gani sasa?

    Ww ni wa ajabu....kwani ulitegemea Dr. angekuwa mgombea urais hata kama angebaki CDM?
  5. DOFFA

    Jamani hii imekaaje?

    Mimi Mzazi nikikosa hela ya kununulia sare za shule na nimeambiwa nimpeleke hivyo hivyo akiwa hana sare,sasa katika hili inamaana sare zimeshafutwa???naombeni mnisaidie kama kuna mtu anajua.
  6. DOFFA

    Msigwa: Madiwani dhaifu wataondoka, Kiongozi amepigwa risasi wao bila aibu wanaondoka

    Nyambaf.....wananunua???? ....CDM visingizo kwn waliokuja huko mliwanunua???????
  7. DOFFA

    Kumbe Kakobe ni CHADEMA muda tu, ndio maana anaishambulia serikali ya CCM

    Lini mchaga ambaye hafaidiki na ccm ameisifia Ccm?
  8. DOFFA

    Musa alimshauri Mungu atubu, nini maana ya kutubu?

    Tubu ww kwanza maana sisi-m ya leo siyo ile uliyokuwa unaiwaza na kupiga dili.
  9. DOFFA

    Wanachadema, Hivi hili asemalo Dr Godwin Mollel ni Kweli?

    Inasemekana anaidai chama hela nyingi sana kwa hivyo ruzuku ni marejesho ya madeni.
  10. DOFFA

    Kama 'returning officer' wa NEC ni mgombea kina Mbowe wana haki ya kususia uchaguzi

    Tuzingatie sheria na kanuni zake zinasemaje!!!!!,huwezi kupoteza haki yako ya kugombea kwa kuwa ni ex -DED........watu mkishindwa hoja za kisiasa njooni huku shambani maana kuna kazi zingine za kufanya.
  11. DOFFA

    TAKUKURU yamshikilia aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bwana Gratian Mkoba

    Acha ujinga,rushwa inaruhusiwa?kiongozi Mstaafu kwa nn anahangaika hivyo?kwan ulaghai wa benki ya walimu ni uwongo?kwan nani kakuambia CWT ni mtetezi wa walimu?kwa toka % 2 ianze kukatwa -------kuna ulazima wa kuendele kuwa Kata walimu % hii mpaka Leo.Tafakari kama ww ni Mwl.kama siyo haikuhusu.
  12. DOFFA

    Mkutano mkuu wa tisa wa jumuiya ya wazazi CCM Taifa

    Hongera Dr. E.Mdolwa kwa kuchaguliwa kuwa M/kiti wa Wazazi Taifa.Binafsi namfahamu vizuri sana ni mwanauchumi mzuri na mwanaccm halisi......kabla ya kuchaguliwa nafasi hii,alikuwa m/kiti wa Wazazi Mkoa wa Tanga.HONGERA DAKTARI EDMUND MDOLWA.
  13. DOFFA

    Leo hii Wema Sepetu wa kumuita Makonda "Le Brother"?

    Mbona alimwandikia msg Lulu lakini bado akahukumiwa......acheni hizo.
Back
Top Bottom