Search results

  1. salim kimosa

    Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

    Sasa unamchimba mkwara mtu aliyeibiwa na wakati amewasiliana na wahusika na mekubali kuwa atarudishiwa, wewe ni nani mpaka ukatae? achaVoda wenyewe wajibu
  2. salim kimosa

    Mwanamke kuonesha ishara ya dole la kati ni ulimbukeni uliotukuka

    Mkuu kuna Manzi kakuonyeshea nini? mwambie ashindwe
  3. salim kimosa

    Loan Board; Makato yamefanyika lakini deni halijapungua hata senti!!

    Lakini hili tatizo sio kwenye Board ya mikopo tu hata kwenye mikopo ya Mabenki bado makato yapo vilevile na makato yamekatwa.
  4. salim kimosa

    Binti miaka 16 atoa siri za freemason

    Habari yenyewe imetoka kwenye gazeti la udaku hawa jamaa si wakuwamini kabisa, wapeleke uongo mbele
  5. salim kimosa

    Tukutane NMB, Mshahara umetoka

    Kwa kweli mimi ni mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu, watumishi wenzangu mshahara tayari tangu saa tano
  6. salim kimosa

    Nisamehe Baba yangu, watoto wengi wanaamini Mama hajawahi kukosea

    Mara nyingi Wazazi wa kiume wanazingua sana,Mimi mzee wangu alizingua sana narudishwa ada yeye hana habari ukimfuata ofisini anazingua, ila pamoja na hayo yote nampenda sana mzazi wangu maana bila yeye sio mimi
  7. salim kimosa

    Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

    Tupo ila tatizo wengine hawakubali kukataliwa
  8. salim kimosa

    Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

    Huo sio uanaume ni Umama ulipitiliza, kama mtu hataki na mali yake yanini kumkashifu na kumtukana
  9. salim kimosa

    Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

    itakuwa na nyie siku hizi mna vina vipana
  10. salim kimosa

    Kuna haja ya kulipa marejesho ya Mkopo wa TALA wakati Kuna kesi mahamakani?

    Mimi mwenyewe wananidai, nawalipe mkopo wao tarehe 24/04/2019 170000 mi
  11. salim kimosa

    Siku hizi wanaume ndio wanaolia msibani

    Wanaume kwa kweli tulipofikia pabaya sana, mwanaume unalia msibani mwanamke afanyaje sasa? mbaya zaidi hata kwenye mahusiano unamvisha mwanamke pete huku unalia, huu ni umama kwa kweli
  12. salim kimosa

    On the top of mount Kilimanjaro

    Haikuwa kazi rahisi ila kwa uwezo wa M/Mungu ndoto zangu zimetimia
  13. salim kimosa

    Gharama za kupanda mlima Kilimanjaro kwa Wazawa?

    gharama ya kupanda Mlima kwa mzawa ni Tshs 1500 ila kuna gharama kama kutafuta mbeba mizigo pamoja na chakula portal upate Tour Guide ambaye atakuongoza. Unatarajia kupandia eneo gani Marangu, Longai, Machame au......Na kama una nia jitahidi uitekeleze. Mimi nimepanda mwaka jana mwezi wa 11 na...
  14. salim kimosa

    Mkeka wangu wa laki 9 na 95 umetiki: Ni maeneo gani hapa Dar leo nitaenda kutana na papuchi za kizungu?

    Mkuu zamani ilikuwa laki si pesa milioni matumizi lakini kwa sasa msemo ni ulicho nacho kikumbatie, Bro kumbatia laki 9 na 95
  15. salim kimosa

    Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

    Wapo vizuri endapo kama utalipa mkopo wao kwa wakati mimi sasa hivi wananidai Tsh. 168000 na natakiwa kulipa tarehe 27/8. wanasaidia sana wakati wa matatizo
  16. salim kimosa

    Yanga vipi?

    asante Dar Young Africa, hawa jamaa wanaojifanya wana hela jana wameshinda kwa tabu sana tena nyumbani kwao
  17. salim kimosa

    Tundu Lissu amefanya asubuhi yangu iwe safi

    hahahahahahaha nimecheka kwa sauti. inafurahisha kwa kweli
  18. salim kimosa

    Nataka kuoa naomba nijue faida na hasara ya mke/mwanamke

    Kijana karibu sana kwenye maisha ya ndoa, hasara na faida zipo kwa sababu mnakuwa binadamu wawili ambao kila mmoja ana tabia zake na ana malezi yake hivyo lazima mvumiliane ndipo mfanane tabia, usisite ingia kwa miguu miwili na Mungu atawabariki
Back
Top Bottom