Search results

  1. proxy

    Msaada Wapi naweza pata huduma ya VPS hosting

    Hiyo haiwezi kuwa VPS, labda kama ni Bei ya IP pekeyake mkuu, kama unachukua VPS yenye customer unlimited upande wa plesk haiwezi kuwa na gharama hiyo
  2. proxy

    Mamelod Sundowns have touched down safely in Tanzania

    nasikia mamelodi wanaendelea kufanya mazoezi huku wameziba uso na kupiga mashuti makali hovyo huku wameng'ata mimeno[emoji1787][emoji1787]
  3. proxy

    Masaada: Kwenye maswala ya internet (IT)

    Hapo inatakiwa usajiri kwanza Kampuni ya Mambo hayo, vinginevyo utaingia kwenye matatizo
  4. proxy

    Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    Wakuu Nina skill za software and Application development, ebo nipeni wazo ambalo likifamyiwa kazi kwenye IT linaweza solve mambo mengi kwenye jamiu na litaleta faida kubwa. NB: Liwe wazo litakalo ishu, Yani likifamyiwa kazi linaweza dumu Kwa muda mlefu sana.
  5. proxy

    Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Kama unahitaji SPSS au SPSS MODELER nicheki
  6. proxy

    Nahitaji course ya Mashine learning au IA

    Kuna program nimepata inaitwa SPSS Modeler vipi inaweza nisaidiaje kwenye kazi ya research yangu? Nahitaji kufanya research na nataka niitumie hii kufanya hiyo kazi ndugu zangu.
  7. proxy

    Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

    Mkuu please naomba nielekeze hii kitu ,pia nimekucheki DM naona umeifunga[emoji1787]
  8. proxy

    Umewahi kudukuliwa au una rafiki yako ambaye amefanyiwa hivyo kwenye ukurasa wake wa Facebook?

    Fanya haya Ili kuepuka kutumiwa picha chafu na kutagiwa habari zisizo na maudhuri mazuri
  9. proxy

    Uzi maalumu wa afya ya akili na wanaoteseka msongo wa mawazo

    Ili kupambana na afya ya Akili unatakiwa kufanya yafuatayo:- 1) Niweke bize kila siku Kwa kuwa na kitu cha kufanya. 2)Fanya vitu unavyovipenda sana, mfano kama ni mtazamaji wa muvi fanya hivyo. 3) Fanya breathing techniques (mazoezi ya pumzi) kila siku asubuhi ya jioni huku ukitafakari juu ya...
  10. proxy

    Nahitaji course ya Mashine learning au IA

    Binafsi kama ningepata mtu wa Kuni guide ingependeza sana maana nahitaji kuitumia kwenye research yangu, au kama kuna yeyote mwenye uzoefu wa research za namna hii anisaidie.
  11. proxy

    Nahitaji course ya Mashine learning au IA

    Asante sana Kwa michango yenu, kiujimla Sina Degree ya Statistics Wala hesabu, ila nimesoma computer science na Information Security, hesabu nilisima advance.
  12. proxy

    Nahitaji course ya Mashine learning au IA

    Hello ndugu zangu habari za Muda huu, Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Ni Kwa namna gani naweza soma au jifunza hizi course tajwa hapo juu? Kama kuna yeyote mwenye muongozi nahitaji msaada.
  13. proxy

    Ugonjwa wa Acid Reflux uwe janga la kitaifa

    Piga Tikiti Mzee utakuja nishukuru
  14. proxy

    Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Pole sana mkuu Mwenyezi Mungu akupe Wepesi Kwa mitihani huu, Naamini Mwanetu atakaa sawa Inshallah
  15. proxy

    Msaada jinsi ya kuongeza "confidence"

    Naomba unisaidie hiki kitabu ndugu
  16. proxy

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mnaikumbuka hii?
  17. proxy

    Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

    Hilo ni janga mkuu, uza king'amuzi cha Azam utakuja nishukuru baadae
  18. proxy

    Tatizo la kuvimba mwili na matatizo ya ngozi

    Nenda hospital kubwa mapema ukacheki vipimo alivyoorozesha mdau hapa juu, kuvimba Kwa mwili hasahasa uso vinaendana na kufeli ya Figo. Ila inaweza kuwa hata kuwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini.
Back
Top Bottom