Search results

  1. N

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    ...yap tupo pamoja ktk kuhakikisha tunamaliza au kupunguza magonjwa haya makubwa yanayotutesa.mawazo yetu wengi ni mazuri ila nadhani kama dawa hiyo ilianza kutumika zaidi ya mwaka naamini kutokana na wingi wa wanaokwenda huko unatokana na wingi wa waliopata nafuu kama si kupona.hivyo nadhani...
  2. N

    wanaume na tabia za ghadafi(rais wa Libya)

    Kibinaadamu hali hiyo haipendezi ikiwa upande wa pili haujabadili mwenendo ulioanza nao,ingawaje pia c vizuri hata kama hamuelewani hatua kama hizo huongeza tatizo,suluhisho la hali hiyo ni kila mmoja kuongeza mapenzi na unyenyekevu kwa mwenzie kwani hata mwanaume akiwa kama huyo rais wa wapi...
  3. N

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    kwanza pole sana bibie,wewe ulianza kujiumiza mwenyewe kwa kumfata huyo aliyekuwa c kiongozi mwema kwani mwanaume anatakiwa kuwa kiongozi mwema,pili ulipoumizwa ukapatwa hasira ambazo zilikufikisha kuamua kujipa likizo ya nyundo 5,nina hakika ulijiamini kuwa ungeweza kufikia lengo lako na...
  4. N

    Kabakwa live

    Yule jamaa aliniambia kuwa atajipitishapitisha kwa yule dada hadi aombwe japo kufukuza panya ili apate nafas ya kumchapa nao !
  5. N

    Tukio la mabomu unachotakiwa kujua

    Hakika hali c nzuri lkn naamini suluhisho tunalo ,
  6. N

    Hodi wanajamii !

    Ujamu umenizidia naomba niingie nicheze !
  7. N

    Hello !,

    jamii forum ipo kwenye (fomu),naomba mnikaribishe tucheze pamoja
  8. N

    Hello !,

    jamii forum ipo kwenye (fomu),naomba mnikaribishe tucheze pamoja
  9. N

    ngo ngo ngo !,ngo ngo ngo !,ngo ngo ngo !,hodi wana jamii

    Nimekuwa msomaji kwa muda mrefu na nafurahishwa sana na yanayoendelea humu ,leo nimeona umuhimu wa kuingia ndani naomba mnipokee .....
Back
Top Bottom