usitake kuaminisha watu ujinga system ya chuo ndoishakuwa hivyo sasa wewe umeshindwa kwenda na system inavyokwenda uferi uje kusingizia wanaofauru ni vilaza uwo ni ujinga arafu kutokana na maelezo yako unasema “kupigania upate cozwork nisababu ya kuogopa mtiani” kwaiyo wale vipanga wote awajali...
faida kama zifuatazo
viazi__starchy
mayai__protein
mafuta__rapid (fatty)
lakini mbali na faida izo ni chakula chenye fravor nzuri sana yaani mfano ukilinganisha unapokula ugali na unapokula zege uwezi fananisha radha zake niayo tu
NB: wabongo wanapenda kujiaminisha vitu vya kijinga eti ni...
wabongo ndomlivyo yaani unajitia aibu mwenyewe ukiwa umeandika sentensi moja tu ushakosea msamiati je ungeandika habari ndefu kama yangu ungekosea maneno mangapi ,yaani jitu baada ya kuchangia linareta uozo tu kulikuwa na faida gani ya wewe kuwa umu
Baada ya kuona kuona mada mbalimbali umu jamii forums kuna baadhi ya vituvitu furani vikititokezaga huwa vinazua utata ambapo kila mtu anatoa perception zake sasa nimeona bora niwaweke watu sawa katika baadhi ya mambo hayo ambapo naamini ninachoandika mimi ndicho sahihi kuusu mambo ayo
1)...
Wanajamvi inasemekana kwamba wale watu wa mwanzo waliokiwa wamepata mkopo wamefutwa na kutolewa majina mapya ya wanafunzi 20,000+ nilikiwa naomba mwenye list ya majina hayo aweke link humu tuyaone
nawasilisha
wanajamvi inasemekana kwamba wale watu wa mwanzo waliokiwa wamepata mkopo wamefutwa na kutolewa majina mapya ya wqnafunzi 20,000+ nilikiwa naomba mwenye list ya majina ayo aweke link humu tuyaone
nawasilisha
daaa taarifa za kukatishana tamaa yaani sipendi nione ivo vigezo wanavyovitaja eti sayansi sijui afya basi wafanye moja tuelewe kwamba wanaosoma social science kwamba wote atupati mkopo ili katika college ambazo awasomi science wanafunzi wasisome basi tujue moja wafurai awo sio kilasiku mikauli...
mtu aliyeelewa tutampima na nini sasa kama si mtiani na ninani aliyekwambia mtu anayesoma elimu ya juu anakariri, unajua maana ya kukariri wewe
kukariri maanayake ni kutokukielewa kitu unachokisoma mfano mimi pindi nilivyokuwa nasoma kidato cha kwanzanilikuwa nakariri kwasabu nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.