Search results

  1. complex31

    Maduka mengi ya wabongo guarantee yao ni za michongo bora kununua kitu kwa wahindi au waarabu

    Warranty vs Guarantee Authorized Dealer vs Authorized Supplier Hapo ndio changamoto huanzia
  2. complex31

    Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

    Binadamu wa kale/ wa mwanzo hawakuweza kuacha nakala/ maandishi ya kueleza walitokea wapi pamoja na Dunia waliikutaje, hii ndio inaleta mgongano siku zote Lakini sayansi haichoki inazidi kutupatia majibu na kadiri siku zinavozidi kwenda wanazidi kuleta data hivo kwa vizazi vijavo watapata majibu...
  3. complex31

    Hizi alama/maandishi kwenye barabara huwakilisha kitu gani?

    T1 au Trunk Road 1 ni barabara za Kitaifa mfano T1 ni Dar es Salaam to Zambia T2 Chalinze to Namanga (Kenya) T3 Morogoro to Rwanda
  4. complex31

    Maisha na uhai hujitengeneza vyenyewe kulingana na mazingira (supernatural power ipo lakini dini ni ulaghai)

    Umewaza mbali sana, mfano hai ni wadudu ambao hutokea kwenye takataka zilizokaa mida mrefu au mdudu ndani ya Kokwa la embe. Conducive environment ndio inafanya uwepo wa kiumbe hai sehemu flani
  5. complex31

    Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Mbona zipo kaka, Nida Danish www.nidadanish.com www.shoponline.co.tz Kupatana.com Jiji.co.tz Na zingine zingi
  6. complex31

    Dar es Salaam na Utapeli wa Vijana,

    Kwa wiki ya tarehe 23-27 nilikua mitaa ya Posta Mpya, Posta ya Zamani, Kivukoni, stand ya Makambusho na Mnazi mmoja kwa shughuli tofauti tofauti. Nimekutana na vijana tofauti tofauti mitaa hiyo wakiwa wamevaa kiUtanashati kabisa lakini wamekua na maneno ya kutia shaka. Kijana atakufata na...
  7. complex31

    Prayer is an act of doubt, not faith

    Ogopa sana wafia dini, na usije kupoteza muda kuwaambia mnachokiamini hakipo. Majibu yao ni mepesi mno, ni bora kuwaacha waendelee na dini na vitabu vilivyoletwa kwa msaada wa “mansoon winds” kupitia missionary na arabs Cha msingi watoto wetu wapate elimu bora na sio bora elimu kupunguza au...
  8. complex31

    Huu ndio Ukristo wa kweli

    MANSOON WINDS zilileta Arabs na quran kwenye mashua. Bila missionary huyo mungu mngemjulia wapi? Mnauhakika gani bibilia na quran zilizoletwa na hao wageni hazikua edited kabla ya kusambazwa kwa kina juma mohamed na ezekiel? China, Japan, Thailand hawakuruhusu “introduction of new religion”...
  9. complex31

    Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

    Hakuna mnyama/ kiumbe wa hatari aliewahi kutokea duniani kama BINADAMU kwanzia Magereza Mabomu Nuclear Pistol Machine Gun Ndege za kivita Sheria za kunyongwa mpaka kufa Dini Vitisho vya kiama Vyote hivi na mengine mengi viliwekwa ili kumControl huyu kiumbe anaitwa binadamu lakini bado amekua...
  10. complex31

    Watanzania tutabadilika lini?

    Kariakoo vyoo viko vingi mno ndio maana hakuna complain ya “vyoo” Ngoja nikupe moja mbili 1. Sehem yeyote yenye bango la HOTEL, LODGE ingia huko choo ni bure kama Wanyama na Valentino 2. Sehemu za kula RESTAURANTS kama Raha ni bure 3. Sehemu zenye bango “CHOO CHA KULIPIA” kama stand ya...
  11. complex31

    Cement imepanda bei balaa, naambiwa kuna tozo ya Serikali haijaanza kutozwa

    Kwenye budget iliyosomwa bungeni na Nachemba Mwigulu alisemea wamekusudia kuongeza 10% kama tozo kwenye bei ya mauzo kwenye kila mfuko mmoja wa cement inayotengenezwa ndani na ambazo ni imported
  12. complex31

    Tujifunze: Kipindi ambacho dini na imani zilianza kupoteza nguvu na kuanguka Ulaya

    Tanzania and tupo AGE OF BELIEVING EUROPE, RUSSIA, CHINA na NORTH AMERICA wapo AGE OF REASONING
  13. complex31

    Usumbufu wa Mashirika ya Ndege Dar es salaam

    Airport wameajiriwa watu wasio na sifa au hadhi ya huduma kwa wasafiri, Msafirishaji jukumu lake ni kuhakikisha una 1.passport ya Kusafiria 2. Ticket ya ndege 3. Visa Lakini airport yetu hawa wanakua tofauti, anakuuliza invitation letter iko wapi? Address ya unaposhukia hiyo nchi unayoenda...
  14. complex31

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Before ajali “mungu nakuomba utufikishe salama” Baada ya ajali “Namshukuru mungu nimepona” Unamuombaje akulinde safarini halafu unakuja kumshukuru ajali ikitokea? Nielewesheni
  15. complex31

    Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Waarabu na Wazungu hakuna kitu walipatia Africa kama kuleta dini zao, Ni vurugu mechi ambazo sio rahisi kuzishinda. Wafia DINI ni watu wenye matatizo ya akili waliochangamka
  16. complex31

    Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

    Zipo hivi 1.Makadirio ya Kodi ya Mwaka TRA 2. Service Levy 0.3% ya Z Report, Manispaa 3. 18% VAT returns TRA 4. Leseni ya Manispaa 5. Fire 6. Ulinzi Shirikishi 7. Usafi 8. OSHA (baadhi ya sehemu) 9. Ushuru wa Forodha (bandarini) 10. Import Tax airport (hii haina kiwango maalum) 11. Kodi ya...
  17. complex31

    Na sisi Wakazi wa Goba, Madale na Mbezi beach tupate mwendokasi

    Huu mradi ww BRT, Morroco to Bunju upo na tender ilikwisha tangazwa muda kidogo, Kituo kutakua Bunju Dawasa Maeneo ya Lugalo tayari wameanza kusogeza ukuta (uzio) kwa kujenga mwingine kwa ndani kupisha upanuzi wa hiyo njia kwaajili ya BRT
  18. complex31

    Msaada sielewi hii hali yangu

    Kanunue dawa za kupaka zenye kuua Fungus na Bacteria kama Gentrisome
Back
Top Bottom