Search results

  1. L

    Waziri Mwakyembe alionya wasanii kujihusisha na siasa

    Yeye siasa ameshindwa kura za maoni anasbiria kama atapata wamezani
  2. L

    Basi la Baraka Classic lapata ajali

    Trafiki Hasipi tumia akili dereva akiongezea. Hajali za namna hiyo singida ulisha wahi tokea. Hisikibali kusimama ghafla
  3. L

    Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

    Hakuna anaye kula raha kama yeye. Na wengine anawazidi sana hata kama wanazidi vyeo au umri yeye yuko juu na mkubwa anajua mwache asubiri Fulsa nyingine
  4. L

    Ambulance zetu na wahudumu wa chumba cha mahututi

    Huko sahihi kabisa speed za madereva wa ambulance zingefanywa na madaktari hospitalini wagonjwa wengi wangependa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    AIM Global, Qnet, Forever Living, One Coin, GNLD na wengine mbadili mbinu za utapeli, hii ya utajiri ndani ya siku 2 imepitwa na wakati

    Mimi nilupelekwa saa 10 watu wanasalimiana good morning nikaona hapa matapeli nikawatoroka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    NHIF yatoa wanufaika wake (watoto wa mchangiaji)above 18 years

    Fanyeni kazi mjitegemee ukisha fikisha 18 Anza kufikiria KUTOKA kwa wazazi wako Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Dkt. Mwele anahitajika zaidi kipindi hiki

    Mwache afanye kazi huko atuletee forex Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    Champion Investment matapeli Mwanza

    Makachero umewapa kazi mida hi labda wameisha vamiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Jinsi nilivyojinasua na mtego wa Al Shabaab

    Maelezo uliyoyatoa kea makechero waliobobea yanaweza kuwanasa waarifu hao. Ukifuatwa na makachero toa ushirikiano Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Dkt. Constansia Burreta: Mwanamke wa nne Tanzania mtaalamu wa upasuaji wa ubongo, mishipa ya fahamu na mgongo

    Professor Kahamba nadhani bado Ana mkataba pale Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Mnisaidie hili Please: Hawa wadudu wanataka kunihamisha home kwangu

    Nikupigie fumigation piga 0785455737. au nunua dawa ya dusban itakusaidia weka kwenye mafuta ya taa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Wanakufa kweli mi nimehamia Airtel package zao bomba Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Kuna mtu anataka muhuri original kwa ajili ya kampuni yake

    India street uliza wachonga mihuiri Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    Msaada ndugu zangu, baba hanitaki kwake kisa naipenda CCM

    Na uondoke kabisa unamzengua babako kapange madume 2 hayakai nyumba moja. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. L

    Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

    Poleni Sana amemfuata Kaka yake naye alikuwa anaitwa Professor Lema Sent using Jamii Forums mobile app
  16. L

    Mzazi hataki mtoto wake asome shule anataka asome elimu ya dini pekee

    Huyo ni Alkaida achunguzwe Kuna kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. L

    Graduate wa UDSM huwa anajiamini popote pale

    Wengine tulisoma vyuo vingine na kutoka na SUMMA KUM LAUDE utakuja kumlinganisha na mhitimu wa UDSM aliyetoka na pass akikumbana na supplimentary kadhaa na pengine kuonga au kuibia mitiani. Katika maisha tunaangalia matokea au contribution to the work place Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom