Search results

  1. mwanasiasa masalia

    Jicho la mwewe liko namna hii. Pongezi mwenye nalo!

    Hayo aliyoongea in makinikia huwezi kuyaelewa.......ila kiufupi jamaa wa mtaa wa pili bado wanaugulia maumivu ya Niyonzima
  2. mwanasiasa masalia

    Ukweli kuhusu usajili wa Simba

    Nyiyi makinikia fc so mnajisibu kumsainisha Ajib? vipi mbona hamrushi pics zake akisaini?? Simply bado mkataba haujaisha.....Simba imewatambulisha wachezaji iliyowasajili ambao wameshamaliza mikataba ndo maana had I sasa haijatangaza rasmi hadharani Niyonzima na Manula....... Likewise nyie...
  3. mwanasiasa masalia

    Wanaume suruali utawajua kipindi iki cha sikukuu

    Sihongi ng'oo!! kwani ina tv ndani??
  4. mwanasiasa masalia

    Mzee Akilimali: Yanga haiwezi kukodishwa kama masufuria

    hivi suala la Hassan Kessy Ramadhan ameruhusiwa lini kucheza Yanga?? naona leo anaanza kwenye line up dhidi ya Toto Africa
  5. mwanasiasa masalia

    Netball ndo mchezo unaowafaa Yanga

    hapo ni yule jamaa CHURA akimuiga Tambiii kufunga..... no wonder mmebatizwa jina la The Kilimanjaro Queens Fc....[emoji23] [emoji23]
  6. mwanasiasa masalia

    Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

    kila mtu aliona mlivyobebwa ndugu yangu.... na nitazidi kushangaa ikiwa bodi ya league ikiwaacha wamuzi wa jana hasa Israel Nkongo bila adhabu yoyote kwa mbeleko waliyoinyesha kwenu jana
  7. mwanasiasa masalia

    Ajenda za Mkutano Mkuu wa dharula wa Yanga Terehe 23.10.2016

    hatuwezi kuendelea kuwaendekeza hao wahuni tena tukijisifu kuwa hawajaanza leo kuharibu uwanja.....wajenge viwanja vyao huo utabaki kwa ajili ya Timu za Taifa tu!! na uelewe pia huo uwanja haujangewa bibi yako!
  8. mwanasiasa masalia

    Ajenda za Mkutano Mkuu wa dharula wa Yanga Terehe 23.10.2016

    utakuwa wa matamasha ya bibi na babu yako
  9. mwanasiasa masalia

    Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

    Jana tu Azam kanyiwa penalty mbili za wazi ikiwemo ile ya Yondan halafu unasema hambebwi?
  10. mwanasiasa masalia

    Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

    acha kujichetua.... ni msimu gani Simba walimaliza bila kufungwa wakakosa ubingwa?? msimu waliomaliza bila kufungwa ndo walikukung'uta 5-0 na ubingwa juu !!
  11. mwanasiasa masalia

    Ajenda za Mkutano Mkuu wa dharula wa Yanga Terehe 23.10.2016

    Halafu eti kuna agenda ya kujadili adhabu tuliyopewa na serikali kutokana na vurugu zilizofanywa na Simba!!! pathetic !! kwani Yanga haikufanya vurugu??? kwani magate yalivunjwa na nani?? au kwenu nyie huo sio uharibifu au sio vurugu??? Tafadhali serikali simamieni maamuzi yenu hawa wahuni wote...
  12. mwanasiasa masalia

    Ajenda za Mkutano Mkuu wa dharula wa Yanga Terehe 23.10.2016

    hivi hizi ni agenda za mkutano au ni maamuzi yanayopendekezwa?? mbona tayari msimamo wa Kanjubahi umeshaonekana live kupitia hicho kinachoitwa agenda?? yaani tayari agenda zimejadiliwa kabla ya kufikishwa kwa wanachama?? hivi zimeandaliwa na mtu anayejiita katibu wa Yanga au ni mburula mmoja...
  13. mwanasiasa masalia

    Yuko wapi Hajji Ugando

    Hivi huyo jamaa si ni proo? sasa mbona Simba inao maproo nane kama bado yupo msimbazi? kumbuka maproo simba ni wafuatao: Angban, Juuko, Mwanjali, Bokungu, Ndusha, Mavugo, Blagnon Sasa akiongezeka na HIJJA UGANDO (sio Hajji) si watazidi idadi ya maproo saba? au mm ndo sielewi uraia wake...
  14. mwanasiasa masalia

    Tathmini Fupi Ya Ligi Kuu Bara Msimu huu

    Sembo umekuja kwa id mpya
  15. mwanasiasa masalia

    Hii Simba SC Haijawahi Tokea.. Yawaadhibu Ipasavyo Mtibwa Sugar.

    Chamazi complex? Kwanini sio shamba la bibi? Si nilisikia game kubwa hazipelekwi maporini? Sasa imekuwaje?
  16. mwanasiasa masalia

    Hii Simba SC Haijawahi Tokea.. Yawaadhibu Ipasavyo Mtibwa Sugar.

    Hebu wekeni msimamo wa league upoje
  17. mwanasiasa masalia

    Yakiwa Yamebaki Masaa Machache; Tupate dondoo mbili tatu kuhusu Mtibwa Sugar.

    Lakini leo Mavugo akizingua apigwe bench match 5 mfululizo kuanzia ijayo ili kutenda haki kama alivyotendewa Kessy
  18. mwanasiasa masalia

    Yakiwa Yamebaki Masaa Machache; Tupate dondoo mbili tatu kuhusu Mtibwa Sugar.

    Kikosi cha mnyama kinachoanza leo vipi?
Back
Top Bottom