Search results

  1. P

    Kuongeza nauli ya daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600 ni kuishusha thamani Tsh 500

    Soon watalazimika kutengeneza sarafu ya tsh 1000 kama tsh 50 ilivyopoteza thamani kwani hakuna cha kununua chenye thamani ya tsh 50.
  2. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    i like the quote the universe will find you a way to accomplish it... kuna masihara moja imetokea last wek kama kuna ukweli fulani ivi
  3. P

    Waziri Ummy: Changamoto kubwa inayowakabili Watanzania kupata Huduma za Afya ni gharama

    wabobezi bila kuweka scale za mishahara ni time wastage masters ina tosha kuishi mjini
  4. P

    Musoma wameikataa CHADEMA, hali ni mbaya

    ccm jengeni hoja matusi na kebehi hayajengi chama chenu leteni ushawishi wa kuvuna wanachama na sio kuhonga wanachama.
  5. P

    Iko wapi Royal Tour mliopiga chapuo kuwa italeta manufaa kwa Watanzania? Mbona tozo na ughali wa maisha unazidi kuwabana Watanzania

    royal tour ilikuwa kumpa kick ssh haikuwa na malengo ya kuongeza wataliii. sasa toka lini watanzani tukawa na interest ya utaliii. filamu inaonyeshwa buree tukaangalie ....then what next
  6. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    kimaisara juzi week iliyoisha tulikuwa kazini napofanyia kazi.... basi kipindi tupo kolidoni akapita msela wangu alinikuta namuelekza bi dada mmoja kitu cha kiofisi....alivyoona akananiuliza unamjua na unamfahamau huyo dada nikamjibu namfahamu kama mfanyakazi na nilikuwa namuelekeza mambo ya...
  7. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hapa baharia ulizengua aisee ungempisha aongeee nae
  8. P

    Wakina dada nisaidieni hili, mwenzenu ameona aibu kusema!

    Sio kila style inawezekana kuna wadada wenye short pelvis ukiwaweka style hiyo unagusa kizazi wanakuwa hawapo comfortable..... elewa anaposema anaumia kwelii na hawezi kuwa comfortable find the most comfortable styles..... Kuumia sio kusikia raha kuumia ni maumivu bwana. Sent from my SM-J260F...
  9. P

    Je, inawezekana Ex wakarudiana na penzi likadumu?

    Kumrudia inawezekana Ila Mara nyingi sana huwa wanaishia kuachana piaa. Maana tayari mnakuwa hamna hofu ya kuachana Tena tofauti na mwanzoni kila mmoja anakuwa anaogopa kukuacha mwenzake ...
  10. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Alivyokuwa anawkatalia wana hasa wazee wenye hela zao na vijana wenye magari ya mkopo na aliyokuwa anasifiwa mie nilikuwa nabuni njia zangu kichwani nikasema hapa lazima njia ya kimasihara itumike.... Nikakukumbuka kaka mkubwa riki boy.. uishi milele mkuu
  11. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    basi baada ya mda Ile naijua sura lipsi zikagongana nikavunga as if it was a mistake. nikaacha pale pale mdomo tukakkoss Mara deep touch touch touch Kama zote ...mara tukaanza kuvuanu nguo kati Kati nikavunga kujifanyisha sipo sawaa mtoto mzuka ushampanda tayari. basi tukaendeleza mechi ikapigwa...
  12. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    basi mtoto kabembeleza huku anaipapasa kifuani na kiunoni aknaisogelelea na kunipa kifua niegemee kabisa ....kosa lapili nilitaka alifikie
  13. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    basi kufika room nikapanda na viatu na manguo yangu yote huku nalia kwa kwikwi kilio Cha mbali acha anikumbatie anibembeleze kama mtoto.
  14. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daaah Kuna sehemu moja naendaga kula chakula nikiwa siku za kazi ... basi Kuna muhudumu mmoja huyo mtoto mweupe kang'aa kweli figure anayo mpk unawaza huyu amekoswa nn mpk anafanya kazi kama hizi jamani.... basi kila nilioomba namba ya simu mtoto anachomoa na pale pale Kuna mizee nayo huwa...
  15. P

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Napingana na maamuzi yako Kaka, hakuna mwanamke ambae hasaliti, Kuna msemo unasema ukitaka mahusiano yadumu jifanye mjinga wakati mwingine....... Na kuasalitiana kupo toka jana enzi na enzi. Soma kutabu Cha hoseaa. Alafu ndo ufanye maamuzi
  16. P

    Jitahidi kuchagua mwanamke sahihi wa kuzaa naye

    Hiii ya pfunk imenifanya kufikiria saana nn hasa haha ya kuzaa na kuoa mwanamke. Unaweza juta maamuzi yako ya zamani.
  17. P

    Hata kama umekosea, siyo sawa mke wako akulaze mahabusu

    Mpk unaoa hukuona hakuna mke hapo, kayataka mwenyewe huwezi kuoa mwaharakati utegemee ndoa ya amani. Wanaharakati wote wamebakia wasimbe mtaani. Ona Joyce kiria,faiza Ally n.k n.k. avumilie au aongeze mke wa pili atajifunzia au ataondoka amuaache akagnaye uanaharakati wake huko mitandaoni.
  18. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Basi bwana juzi hiyo nimempeleka mgonjwa hospital wa tatizo la kupumua (covd? Hospital moja mkoani dodoma. Basi nimekaa pale parking kulikuwa karibu na choo Cha public mida ya mishale saa 7 usiku. Nimekaa pale gafla akaapita mlinzi mdada wa makamo 20 Hadi 23 ndani ya uniform zao za security...
  19. P

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daah Kuna moja nitaileta soon. Huu uzi unaweza kukufanya ukawa mznzi bila kutegemea
  20. P

    Inakuwaje kwa madaktari tuliowasomesha lakini wamekimbilia bungeni kufuata maslahi mazuri!

    Mat na mct wangemjibu sababu wote ni wapigwa ganzi midomoni. Sheria inasema rudisha pesa uliyosomeshwa mda wa masomo. Haya anayofanya ni unyanyasaji.
Back
Top Bottom