Search results

  1. S

    We don't own any property

    So eat as much as you can like there is no tomorrow.
  2. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Unajua sana siasa mzee eti gold ore, Wantanzania tumejaaliwa sana ujuaji kwa hiyo mimi nikisema 'high grade' wewe unajua naongelea mchanga au mawe ya mtoni siyo gold ore. Umebakia kugeuka geuka tu.Ujuaji ujuaji kama wako huu ndiyo umeifikisha nchi yetu hapa.
  3. S

    Kwaheri Tanzania: Juma langu la Kwanza ndani ya Ukraine, Odessa

    Siyo ughaibuni tu hata hapa bongo ukifanya nao kazi utajifunza mengi wanachukia sana zile tabia zetu za kibongo uvivu,kuchoma mihogo muda wa kazi,ujuaji na kujifanya unajua sana. jamaa kamshauri vizuri sana anyway.
  4. S

    Dr. Kikwete katika mkutano wa Umoja wa Afrika

    Acha uongo wewe huyu jamaa enzi yake si kila kona ya nchi hii watu walikuwa wanafanya part? kila mtu alikuwa kidume,hivi wale waliokuwa wanakunywa bia enzi zile asubuhi tu wameanza mpaka jioni bila kazi bado wapo? MHENGA unamatatizo gani?
  5. S

    Dr. Kikwete katika mkutano wa Umoja wa Afrika

    unamaanishi maparachichi ya kutoka magharibi?
  6. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Wewe ni mtu wa ajabu sana,mimi naongelea habari zingine wewe naye unaongea mambo yako. Unarukia rukia mambo sana,hivi wewe mhenga mchanga wa dhahabu ni makinikia tu,kwa hiyo nilivyozungumzia habari za helikopta kuja mara 4 kwa wiki wewe ukajua naongelea makinikia au nilivyozungumzia 1g/t ukawa...
  7. S

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    Na wameanzisha na vyombo vyao vya propaganda na taarifa za kupika ili kutupiga changa la macho, vyombo hivi ni kama vile IMF -ya kwao WHO-ya kwao NATO- ya kwao WFP-ya kwao CNN BBC ukisikia taarifa yoyote kutoka vyanzo hivi unaamini kweli kweli kumbe urongo mtupu.
  8. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Ok sawa kama akina prof Mruma zile report zao zilkuwa ni chai kwanini Mh Rais alivyozuia yale makontena wenye migodi wakapagawa?,unazungumzia gharama za uzalishaji,hivi unafikiri kampuni inaweza kuwekeza billions of money bila kujua faida au kilichopo chini ya ardhi wanakuja kuchimba bila kujua...
  9. S

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    Mkuu mi napenda sana unavyoongea kwa facts siyo blaa blaa ila tu ninachokiona kufahamu kinachozungumziwa hapo mpaka uwe na macho matatu, vinginevyo watu hawaelewi. Hivi mkuu unafahamu kwamba sisi blacks especially Tanzanian tunawahusudu sana wazungu kiasi kwamba huwa nashindwa...
  10. S

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    Ni sawa nakukaa kijiweni ukilalamika maisha magumu na kulaumu kwamba Marekani imesitisha misaada, nchi itayumba,tusiwachezee wazungu maana mzungu ni kila kitu,tumekuwa na hizi akili za makalioni muda mrefu sana. Pamoja na historia hii nzuri ya mtu mweusi bado tunahitaji mapinduzi makubwa ya...
  11. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Mkuu nafahamu yote hayo unayoyasema,kitu ulichonifurahisha ni vile ulivyosema kwamba kwa akili yangu nafikiri kwamba sisi tunazalisha dhahabu nyingi kuliko hata South Africa acha utani Mkuu,ha ha ha ha! Unataka kuniambia kwamba Australia au hata USA walichezewa hivi hivi kama tulivyochezewa...
  12. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Mkuu uwe makini sana na vitu unavyovizungumza hapa,unasema madini siyo big deal? serious? Nimegundua kitu hapa baada ya maongezi haya kati yangu mimi na wewe kwamba tupo Watanzania wa tofauti tofauti sana.Ndiyo maana tunaitwa shithole akili zetu tulio wengi zipo kiuoni. Asante mkuu one day yes...
  13. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Heading ya mleta hoja inasema-UTAJIRI WAGESI UMEPOTELEA WAPI? Mimi katika mazungumzo yangu nikauhusisha huu utajiri wa gesi na tunavyosimuliwa na hawa wanasiasa kwamba wananchi tutafaidika moja kwa moja badala yake imekuwa tofauti. Nikazungumzia pia kuhusu diamond, Urenium,Gold and all shit...
  14. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Ok sawa ngoja tusubiri hiyo gas yako ya deep sea,African tuna matatizo sana. Tusijibizane sana mkuu drop it.
  15. S

    Kumbukumbu: Mkapa alivyoshinikiza kukatwa kwa Lowassa ndani ya CCM na kutishia kuwafukuza wajumbe wa NEC

    Mkwere ni mpole mpole hivi lakini mambo yake ni deep sea.
  16. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Ha ha ha ha! where is you're point exactly,ha ha ha ha! people of the Republic of Danganyika. we have got diamond,gold,gas,urenium,Nikel and all shit,does these stuff take you anywhere?
  17. S

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Kwa hiyo mkuu unataka kutuaminisha kwamba hiyo Gas iliyopo deep sea italeta uchumi hapa Tanzania?,hakuna watu wa hovyo kama wanasiasa na wale woote wanaowalinda hovyo sana,why do you praise these stupid politicians,you know what? they work for satan, they are satanism,they can eat you alive...
Back
Top Bottom