Search results

  1. maxime

    Wizara ya elimu Mjipange

    Unaweza ukawa una hoja lakini ukapuuzwa ndugu, maana haueleweki una shida na Ndalichako, logo (sijui una maanisha ile ya bibi na bwana), mifumo, usahishaji.. yaani nadhani hata wahusika wasikuelewe nini hasa kwako kimekupata na hiyo Wizara? Kwa asilimia kubwa ndio Wizara iliyotulea wote humu...
  2. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Watu hawapaswi wasome, kwasababu ingekuwa ni lazima ingekuja in built .... vitu vya lazima vyote ni in built na vya hiari ni hiari.... Kuna watu tangu kuzaliwa kwao mpaka kufa kwao hawajawahi kujua kusoma au kuandika kutokana generation walizoishi, hii kwangu mimi inaniambia kusoma sio jambo...
  3. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Wote wote, kuna watu wanahofia siku wakijitambulisha ni atheist watatengwa na jamii zao... wanahofu hawatazikwa au kupewa msaada wowote wa kijamii na jamaa zao. Lakini matendo ya watu tu, yanakwambia hawaamini wanayosema. Kuna watu humu utawaona wanakosoa sana watu waliokacha dini zao, na...
  4. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Mimi nilikuwa muislam, lakini sasa hivi ni atheist... na sina haja ya kuweka bandiko.
  5. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Wanachalenjiwa na hao wanaotoka kwenye hiyo dini, na wala sio hao wakristo unaosema. Consequences zake wanaishia kukimbia nchi na kwenda magharibi kutafuta hifadhi. Ukiwekewa ushahidi utaukubali hapa wakati utaishia kusema ni propaganda kama kawaida yenu...
  6. maxime

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Bado haujafunguka, umewahi kumpeleka wapi Samweli aka Liverpool???
  7. maxime

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Hapa unatafuta vita mkuu, umempa ushauri mzuri tu. Lakini haya mambo ya imani ni mzoea sio rahisi mtu kuyakwepa.
  8. maxime

    Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Ana roho ngumu, ulitaka azoe yeye..... ungekuwa wewe mwenye shamba ungemchekea?
  9. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Wakichalenjiwa huko Taliban wanachinja watu, tushukuru upo nchi huru kwenye haya mambo...
  10. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Kitu ambacho ukijui kuna watu wengi ambao ni atheists lakini mbele za watu wanajifanya ni waumini wa imani fulani.... maana kama mtu anaamini kwanin mambo yaliyokatazwa na huyo anayemwamini bado anayatenda? Midomoni ni watu wa dini ila kimatendo ni atheists...
  11. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Kwanin nisijue wakati tunaishi wote bongo... nina uhakika una ndugu na jamaa wenye njaa.
  12. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya kaombee ndugu zako wapate maana wana njaa.
  13. maxime

    Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

    Ungemjibu umejifunzia kwa mbwa...
  14. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Ndio utuambie hapa ulichokipata pengine wengine tumekipata bila ya kuomba chochote. Nini wwe unapata wasiomba hawapati?
  15. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Uislamu una logic zipi mdau?... za kubanwa na kaburi, kung'atwa na joka kubwa kaburini. Za kuwa na mademu 72 peponi....
  16. maxime

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Dua ipi mdau iliwahi kukubaliwa... kuomba mvua mwezi Disemba?
  17. maxime

    Muda wa kuanza safari za mabasi uangaliwe upya

    Lakini ndugu kuanzia saa moja jioni hadi saa 7 nao si ni usiku?.... au mabasi yote yanafika destination saa 1800???
  18. maxime

    Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

    Hapo kwenye style moja ya kifo cha mende... ni kweli kabisa, hata kama wamechoka miguu lakini bado wanakomalia same style... ukisema twende doggy style au njoo tupige missionaries, stimu zinakata..... hapo lazima tuchepuke.
  19. maxime

    Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

    Hii hata kwa wanawake pia... usiseme upande mmoja, yaani mpaka umuanze. Kuna siku nyingine anakupigisha mwendo wa blowjob tu.
Back
Top Bottom