Search results

  1. M

    Edo Kumwembe: Afrika ni bara la Kipumbavu zaidi kuliko Mabara mengine yote hapa Duniani

    Unanafasi kubwa sana yakubadilisha jamii yakiafrica kwa maana unafollower weng sana kwahiyo ukitumia pen na positive thinking itasaidia sana kuisaidia africa so tusilaumu na tusitoe matusi kwa Africa ila tuelimishen
  2. M

    Edo Kumwembe: Afrika ni bara la Kipumbavu zaidi kuliko Mabara mengine yote hapa Duniani

    Hahahaha mm nazan tuko nyuma sana kwa upande wa ufahamu wa mambo ndo mana hatuna uelewa kama hao unaowasifia ila hii sio upumbavu ila n ukosefu wamaarifa.kutatua ili swala n kwa njia kuuu moja kuwa na culture ya kusoma itasaidia kututoa kwenye ujinga
  3. M

    How to Handle Your Monster-in-Law

    Mh kama iyo saikologia ungekua na uhalisia na maisha au malez yakitanzania sawa lakn malez yetu n tofaut
  4. M

    Tanzania ya 10 kwa ubora wa uchumi Afrika

    Kama cc n wakumi bas Africa hali n .mbaya sana
  5. M

    Serikali kuweka usafiri wa majini kutoka Posta hadi Mbagala

    Mm nahic jamaaa ana dar iko kichwan ambayo bado haijafika kwenye ulimwengu halis
  6. M

    Denda asubuhi na boyfriend wangu

    Pia jifunze kuwa na kifua
  7. M

    Denda asubuhi na boyfriend wangu

    Piga mswak usiku. Mpka asbh kila kitu kitakua poa sana
  8. M

    Biashara ya kupangisha nyumba, Huwezi ukala faida wewe unayejenga

    Nyumba yakupangisha inafaida kam ukiweka mfumo wa master room ambapo kodi huwa kubwa na Maji yakiwepo
  9. M

    Biashara ya kupangisha nyumba, Huwezi ukala faida wewe unayejenga

    Biashara ya nyumba inafaida ila lkn kwa mda mrefu,pia iyo faida inategmea na eneo ambayo iyo nyumba IPO na ubora wa iyo nyumba,kama IPO karibu na stand barabara kuu maeneo hayo kodi n kubwa tofauti na zilizo mbali au kama miundo mbinu n mizuri pia nyumba itakua na thaman,pia huduma zilizopo...
  10. M

    Obama apata kigugumizi madai ya kuvuruga uchaguzi yaliyotolewa na Trumph

    Haahhhqh tena muandish nahic wangemburuza mpaka akifika kituon hawez kuongea
  11. M

    Dar itakavyoathirika Serikali ikihama

    Kas ya maendeo usimamiaj maendeleo itapungua sana
  12. M

    Dar itakavyoathirika Serikali ikihama

    Biashara itakua sana kwenye masoko makubwa mana shopping ya watu itaongezeka watokao Dom,
  13. M

    Dar itakavyoathirika Serikali ikihama

    Watumish watakula bata sana mana ziara zakushtukiza zitapungua,mana mpaka MTU atoke Dodoma aje muhimbil watu watakua wameshajipanga
  14. M

    Dar itakavyoathirika Serikali ikihama

    Madhala yatakua machache sana ambayo hutowza isi
  15. M

    sijui fungateni itakuaje

    Pombe itakua inafanya kaz yke hpo
Back
Top Bottom