Search results

  1. nalazuzu

    Mgomo wa daladala mjini Dodoma

    Siku nzima ya leo daladala zinazopiga route yakutoka Chang'ombe, Maili mbili Mipango, Veyula, UDOM, kuelekea jamatini stend zote zimegoma kufanya kazi "kwa madai kuwa wananyanyaswa sana na polisi wa barabarani kwa kuwakamata kila wakati na kuwadai rushwa" hawapati faida kazi yao ni kuwafanyia...
  2. nalazuzu

    Deogratius Kithama: Miaka 7 ya Nirvana basi!

    Wadau, Wote wale wa fasioni,leo ni majozi kwetu kwa mtangazaji wetu nguli wa kipindi pendwa cha mafasioniii ameaga rasmi kuwa ndio mwisho wake kutangaza.
  3. nalazuzu

    Mpoki sasa na Vodacom,Joti na Tigo,Masanja na wali nyama

    Hatuna budi kuwapongeza wasanii hawa mashuhuri katika Tasniaa ya uchekeshaji kwa mafanikio makuu wanayoyapata. Sasa hawa ni mfano wa kuigwa ni watu walio makini na kutunza majina yao (Image and reputation kwa public) hii imewajengea heshima na kupata Deal mpya kila wakati.
Back
Top Bottom