Search results

  1. L

    Ombi la kiimani kwa mtumishi pdidy

    Naomba kabisa kwa upendo wa Mungu i na kwa imani uniwekee hapa SALA YA KUKEMEA MAPEPO (MAJINI MAHABA) nimegundua ninasumbuliwa sana na haya mapepo, Itakuwa vema nawe unapokuwa kwenye maombi yako nami niwe mmoja wao. Asante
  2. L

    Nahitaji mwalimu

    Naomba mwalimu wa kunifundisha kubold heading hapa kwenye jukwaa letu la JF
  3. L

    Msaada jamani

    Mwenzenu jamani naomba msaada wenu wana JF, mwanangu ana KIGUGUMIZI KIKALI SANA yaani kadri siku zinavyokwenda ndio kinazidi kuongeza kasi. Naomba mnisaidie nifanyeje?? Ila tatizo hili na ujombani kwao lipo sana sasa sijui ndio amerithi ama??
  4. L

    Ushauri wa kuendelea na masomo

    Wapendwa wana JF naomba msaada/ushauri wa kujiendeleza na masomo kwa ngazi ya juu, kwa maana ya kwamba nimesoma Diploma ya Business Admn na kupata daraja la PASS hivyo naomba ushauri kwenu nifanye ili niweze kuendelea mbele zaidi kimasomo kutokana na ufaulu huo mdogo. Wana Great Thnkers ushauri...
Back
Top Bottom