Search results

  1. Saguda47

    Ni hatari sana hadi leo Simba hawajajua tatizo liko wapi mwaka wa 3 huu utopolo wanabeba ubingwa

    Hili nalo litapita, football Ina furaha za muda mfupi na huzuni zake vivyo hivyo
  2. Saguda47

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Hayo magari ya serikali hasa TISS Wana plate number zaidi ya 2 kwenye gari moja. Utakuta Leo inasomeka T.... Kesho DFPA, Keshokutwa STL/STL.
  3. Saguda47

    Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    Timu hizi mbili ni za taifa la Tanzania, hakuna mwenye nguvu ya udhibiti Nazi ikiwa itabidi aondoke. Mark my words.
  4. Saguda47

    Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    Haya mapito tu, hiyo miaka 6 mbele nani atakubali timu iwe mbovu kama hii huku mwekezaji akibaki yuleyule? Hivi vilabu kwa tunaovijua Wala hatubabaiki sana, vinatoaga furaha za misimu kadhaa siyo muda wote. Mstarajie hata Simba SC kubaki dhaifu miaka yote. Furaha imewazidi, tambeni ila muda...
  5. Saguda47

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Muda huu, mbili zinatosha kuiweka sawa weekend
  6. Saguda47

    Ulianzaje kukaa gheto?

    😂😂😂😂😂
  7. Saguda47

    Figo zimefeli ghafa umri miaka 37

    Hili suala la hivi karibuni kuwa na utitiri wa case za Figo kufeli linahitaji tafiti mpya katika taifa letu. Wataalamu wa afya wasijikite tu kwenye majibu ama sababu zilizowazi za miaka mingi. Wachunguze uwezekano wa visababishi vipya.
  8. Saguda47

    Ikitokea vita ya maninja na makomandoo, upande upi utashinda?

    😂😂😂😂😂 Dah! Nimecheka sana
  9. Saguda47

    Robertinho apost wimbo wa Yanga ukurasa wake wa Instagram

    Kwani hakupewa stahiki zake? Akwende huko😂
  10. Saguda47

    Robertinho apost wimbo wa Yanga ukurasa wake wa Instagram

    We mshenzi Nini? kifo kinajulikana kitakukumba lini? Yanga alipitia shida misimu minne ulikuwa wapi? Mambo ya football yawe ya ziada, usiwekeze asilimia 100% ya furaha Yako.
  11. Saguda47

    Robertinho apost wimbo wa Yanga ukurasa wake wa Instagram

    Alitaka abaki milele? Haijalishi Simba SC inapitia kipindi Gani ila kila jambo Huwa na ukomo wake. Haitabaki hivi kila siku.
  12. Saguda47

    Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Wanaologwa ni masikini, matajiri hawarogeki popoma!
  13. Saguda47

    Nimezidi kuumia baada ya kuona Mamelodi amepangwa na Esperance nusu fainali. Yanga ilikuwa inaenda fainali, hata kushinda kombe

    Bingwa ni Mamelodi sundowns au Al Ahly. Malalamiko ya kipuuzi hayasaidii lolote, lile halikuwa goli ni ushamba wa kushadadia vitu vidivyo na maana. VAR iliwabeba Yanga katika tukio la Lomalisa dhidi ya Khuliso Mudau, mwanyeto dhidi ya Nyoso Lortch ilikuwa penati VAR haikutoa maamuzi yoyote...
  14. Saguda47

    Tetesi: Kocha wa Simba kutimuliwa kwa kushindwa kutikia malengo ya kuipeleka simba nusu fainali

    Simba Ina kocha mzuri, ila Haina wachezaji wanaoendana na ubora wake. Usajili wa maana unahitajika, siyo levo za wachezaji wengi waliopo Simba SC.
Back
Top Bottom