Search results

  1. GME

    Cheti kimeokotwa

    Kwa anayeitwa au anaemfahamu SUNDAY LAMECK ambaye amemaliza kidato cha sita Jitegemee Secondary mwaka 2012 awasiliane hapa cheti chake kimeokotwa.
  2. GME

    Kwa Mr. Sunday Lameck

    Kwa anayeitwa au anaemfahamu SUNDAY LAMECK ambaye amemaliza kidato cha sita Jitegemee Secondary mwaka 2012 awasiliane hapa cheti chake kimeokotwa.
  3. GME

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    ME 17:30 Today Mimi mwalimu wa shule ya sekondari ilboru arusha natahitaji kuhamia dar es salaam kwa mwalimu yoyote anaetaka kuhamia arusha tokea dar tuwasiliane kwa namba +255767131671
  4. GME

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    I know very well that this is a political forum but i have a case sensitive then i saw it worthy to announce it here other than else where because kuna readers wengi na nahitaji kuhama seriously
  5. GME

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu wa shule ya sekondari ilboru arusha natahitaji kuhamia dar es salaam kwa mwalimu yoyote anaetaka kuhamia arusha tokea dar tuwasiliane kwa namba +255767131671
  6. GME

    Maendeleo: Mji wa Musoma unakuja kwa kasi sana

    Kwakwel wana CCM wengi vilaza unavyosema akaulize kuhuse bei ya vitu enzi za ccm na sasa una maana Mh. Vicent ndo alipanga bei? Mfumuko wa bei ni nchi nzima na mbunge hawez kucontrol inflation ni serikal tu ya ccm iliyoko madarakani na it has proved a total failure on this...so whenever you...
  7. GME

    Nikijibiwa hili nahamia Chadema

    Umevurugwa
  8. GME

    TATHMINI; kati ya CCM na UPINZANI nani anaitaka KATIBA MPYA kwa DHATI?

    Wote wanataka katiba mpya japo ccm wanataka ipitepite 2 ilimradi waweke historia ya kubadl katiba bila kujali ubora wake na chadema wanajali ubora wake kwa maslah ya nchi na wananchi
  9. GME

    Ni kiwewe, woga na kutojiamini: CHADEMA kumlalamikia BALOZI na kumwacha SHIBUDA

    We ni msomi au mfugaji tu? Do you the difference btn politics and diplomacy?
  10. GME

    Swali; hivi ni lazima kila kijana wa Chadema agombee ubunge?

    Hoja yako haina maana, fanya analytical research kwanza then uiandke tena. Unatakiwa ujue cdm ina wafuasi wangap vijana tz then ufanye sampling study wangap wanataka kuwa wabunge then ndio ufanye recomendatios zake au hujasoma wewe? Nyie kwel ndo wasomi wa tz 2mekwisha. Mi na marafk zang...
  11. GME

    Ukiwa na Leseni ya Bara hauruhusiwi kuendesha gari Zanzibar!

    Safi sana mkuu kwa upembuz yakinifu, tanganyika inafanya yote hayo kuutetea muungano usivunjike ambao waznzbar hawautambui kwa sasa...serikali 3 ndio suluhisho
  12. GME

    Bora kumkimbiza Rais nchi nzima kuliko Mwenge

    Jf is for great thinkers...your thoughts are great and i with all my hands, eyes, legs and everythng i possess absolutely support this idea...CDM take it not for granted but a real hot issue of discussion in your parliamentary meetings plse
  13. GME

    Tamko la CCM kufuatia mgogoro wa madiwani Bukoba (kuhusu utaratibu)

    True CHADEMA kuweni makini nao
  14. GME

    Kazi zimetangazwa za form six leavers

    Teachers King Solomon Acaedemy Date Listed: Feb 23, 2013 Email Address: Click to Email Phone: +255 655 417 956 Area: Dar Es Salaam Application Deadline: Feb 28, 2013 Position Description: King Solomon Academy is Growing academic institution Located at Chanika, Ilala District, Deals with...
  15. GME

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu zangu mi nipo arusha na nimepangiwa ajira mpya kagera-karagwe nahitaji mtu aliepangiwa arusha wa kubadilishana nae aende karagwe....namba zangu ni 0767131671
  16. GME

    CCM choka mbaya

    CCM juzi katika kampeni mh. wao kampeni meneja luhanjo kaporomosha matusi kama maji,sasa jamani kampeni ni matusi kwa chadema au ni kunadi sera sijui katiba inasemaje hapa.
Back
Top Bottom