Search results

  1. mwanamapinduko

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kulikoni Jiji la Mwanza hakuna umeme tola asubhi bila taarifa yoyote
  2. mwanamapinduko

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hii kitu imerudia tena mwezi huu, star times kuna shida gani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mwanamapinduko

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mimi nimelopa tosh 21,000 lakini kuna channels sipati kama Viasat,discovery family, national geographic Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mwanamapinduko

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Toka jana tarehe 27/10/2018 hadi leo kuna shida kubwa internet maeneo ya chuo cha mipango dodoma miyuji.
  5. mwanamapinduko

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Wakazi wa Salasala Mboma road, tunakosa maji kwa muda wa wiki ya pili sasa. Wakati mnatandaza bomba kubwa kuelekea kilimani kwenye tank mlitupa mgawo kwa siku ya alhamisi na jumapili. lakini sasa hivi huo mgao hakuna na haieleki muelekeo wenu. tukiwapigia simu wahusika wa huku wanakimbilia...
  6. mwanamapinduko

    Wezi wa vifaa vya magari wasakwa kila kona

    Na ndio anachotaka yatambuliwe kuwe na nyaraka za uingizaji hizo parts na kodi imelipwa. asichotaka huria isiyo na kikomo inayofuga vibaka wanaotuibia na kutakiwa kununua vifaa tulivyoibiwa.
  7. mwanamapinduko

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Wakazi wa Salasala tulikuwa na ushirika wa watumia maji salasala, ushirka huu uliweza kutupatia maji mara tatu kwa wiki. mwaka jana tukarudishwa dawasco, imekuwa shida tunapata maji mara moja kwa wiki siku ya jumapili, mbaya zaidi maji mara kwa mara wanatoa kwa muda mfupi siku hiyo ya jumapili...
  8. mwanamapinduko

    DAWASCO TURUDISHIENI MRADI WA USHIRIKA WA WATUMIA MAJI SALASALA.

    Tunaomba DAWASCO waturudishie mradi wetu ushirika wa watumia maji Salasala. Huduma ya upatikanaji wa maji ilikuwa ya uhakika. Sasa hivi huku salasala Kilimahewa maji hayapatikani, yanatoka mara moja kw wiki siku ya jumapili. Tena jumapili nyingine hakuna, kama leo tarehe 14/05/2017 maji hakuna...
  9. mwanamapinduko

    Shemeji yetu kwa Flora Mbasha huyu hapa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda pesa yake ndio ndefu
  10. mwanamapinduko

    Trafiki mkoa wa Pwani tendeni haki

    Ok hiyo 5000 ni rushwa? Hapana siwezi kutoa hiyo, kama nitakosea nitawajibika.
  11. mwanamapinduko

    Trafiki mkoa wa Pwani tendeni haki

    Kama nili overspeed ningeonyeshwa hiyo kwenye kamera. Kwani utaratibu uko vipi? Ndio maana nahisi kuna chezo linachezwa.
  12. mwanamapinduko

    Trafiki mkoa wa Pwani tendeni haki

    Hapo ni pwani labda kama haujui nini unaongea. Kiluvya ni wilaya ya kisarawe jipange. Kazi ya usalama barabarani haifanywi kwa kujificha. Na mhusika akikosea ni haki aonyeshwe ushaihidi wa kosa. Na akilipa faini lazima apewe risiti halali ya serikali. Illegal immigrant uliza mpaka wa mkoa wa...
  13. mwanamapinduko

    Trafiki mkoa wa Pwani tendeni haki

    Leo nilikuwa natoka Dar nakuja huku Morogoro, nilipofika Kiluvya kuna sehemu trafiki wanaka sana, zamani ilikuwa ni shamba ya Dr. Hashim, nikasimamishwa na trafiki kwamba nimetembea spidi ya 71. Nikamuuliza anionyeshe akanimbia kuna mwenzao kajificha kwenye mtelemko ndio anatumia taarifa...
  14. mwanamapinduko

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    http://www.youtube.com/watch?v=NZ2KWkt7_wc
  15. mwanamapinduko

    Fire extinguisher nalo jipu

    Hata wewe umeonyesha upeo wako
  16. mwanamapinduko

    Fire extinguisher nalo jipu

    Acha hizo wewe gari ikiungua na hizo certificate nazo zinaungua. Huyo insurer mtata atakuwa anatafuta rushwa tu...
  17. mwanamapinduko

    Shule za sekondari binafsi na mashirika ya dini kufukuza wanafunzi wasiofikia wastani

    Kwa hiyo mchujo uliowekwa na serikali ni wa ukilaza? Du haya ...
  18. mwanamapinduko

    Shule za sekondari binafsi na mashirika ya dini kufukuza wanafunzi wasiofikia wastani

    Waziri wa elimu awashukie, hao wanaotakiwa kusimamia utekelezwaji wa waraka huo. HAPA KAZI TU. Kutafuta faida kufuate taratibu na sheria.
  19. mwanamapinduko

    Shule za sekondari binafsi na mashirika ya dini kufukuza wanafunzi wasiofikia wastani

    Kwa hiyo mtihani wa kidato cha pili na kidato cha nne ambayo ndio kigezo cha kitaifa cha kuchuja haina maana?
  20. mwanamapinduko

    Shule za sekondari binafsi na mashirika ya dini kufukuza wanafunzi wasiofikia wastani

    Utambue kufanya shughuli kisheria ni pamoja na kutekeleza maagizo ya serikali.
Back
Top Bottom