Search results

  1. K

    Hussein Bashe: Serikali iunde Tume ya Kitaalamu ya Kufanya Mapitio Makubwa ya Mfumo wa Elimu

    Mbunge wa Nzega Mjini Mohamed Bashe wiki jana ameomba katika mitandao ya kijamii mbalimbali kama ukurasa wake wa Facebook na Twitter watanzania kumuunga mkono katika Hoja yake binafsi kwenda katika Meza ya Rais John Pombe Magufuli na Bunge la Jamhuri wa Muungano kuhusu TUME YA KITAALAMU YA...
  2. K

    Membe haongei na vyombo vya habari

    YAH:KUKANUSHA UZUSHI WA MITANDAONI DHIDI YA BERNARD MEMBE(BM). Ndugu watanzania wa ndani na nje ya nchi,tunapenda kukanusha kwa nguvu zote uzushi unaonea kwenye mitandao mbalimbali kuwa kiongozi mwandamizi wa Ccm ndugu Bernard Membe ataongea na vyombo vya habari siku ya leo saa kumi jioni...
  3. K

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Friends Of Hon.Membe wapeta nafasi za ubunge. Katika hali ya ushindani wa makundi hasimu ya kambi za urais ndani ya Ccm hadi sasa kundi la Bernard Membe limeonesha kung'ara dhidi ya kundi la Edward Lowassa. Ushindi mkubwa unaovunja rekodi waliopata marafiki na mashabiki wa Bernard Membe...
  4. K

    Mahanga Kumfuata Lowassa

    Mahanga kumfuata Lowassa. Mbunge wa jimbo la Segerea Dk.Mahanga kukatwa na Cc hata kama akishinda kura za maoni kutokana na utovu wa nidhamu alioonesha Dodoma wakati wa kura za maoni za kumpata mrithi wa Rais Jk. Dk.Mahanga anayesifika kwa rushwa,uzinzi na ulevi hali yake kisiasa ni mbaya...
  5. K

    Haya Ndio Matokeo ya serikali dhaifu

    Habari wana jamvi, hapo mwanzo ilikua ni kitu kipya kuona serikali ikishindwa kuyatolea ufafanuzi masuala fulani yaliyojitokeza hapa nchini hadi kuitwa dhaifu. Leo hii hadi taasisi zake zimefuata huo utaratibu au mfumo usio rasmi. Inashangaza sana kwa taasisi tena za elimu ya juu TCU/NACTE...
  6. K

    Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

    anza na mimi....binti sio mtumiaji kilevi
  7. K

    Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

    binti hakua mlevi....sio vizuri kusema vitu ambavyo sio vya kweli
  8. K

    Tanzania yavunja rekodi kwa kutembelewa na watalii zaidi ya Millioni: Bravo Kagasheki

    ngongo...nimekuelewa vizuri sana.haupingani na mtoa mada kuhusu ongezeko la watalii ila hizo sifa anazopewa Kagasheki ambaye aliteuliwa MAY 2012,,,,ni karibu nusu mwaka hadi anakabidhiwa ofisi ,Je kweli anastahili pongezi kwa ripoti ya December same year???....mtoa mada hilo umekosea...ni...
  9. K

    Membe: Tunasubiri talaka Jumuiya Afrika Mashariki

    kabla sijamsoma Nyerere naomba kukuuliza wakati EAC inavunjika at the first place...Tanzania ilikua inaongozwa na nani?
  10. K

    Sophia Simba: CHADEMA wanatumiwa kuanzisha vita na Mataifa ya nje ili yapate soko la Silaha

    wazara ya maendeleo ya jamii,jinsia na watoto ina masuala mengi sana yanayogusa jamii moja kwa moja,huyu mwanamke ni shida tupu ameacha hayo yote ameanza tena na shudu zake!mfano vyuo vya CDTTI vipo chini ya wizara yake hata sijamsikia akitembelea huko kuona matatizo yanavyovikabili mf pale...
  11. K

    Membe: Tunasubiri talaka Jumuiya Afrika Mashariki

    wewe ni raia wa nchi gani?...maana hueleweki kua ni mtz au mkenya?....nijibu kwanza hilo then nikupe majibu yako
  12. K

    EAC kuwa na visa moja bila ya Tanzania ni dhalili tosha kuwa Tz tumetengwa rasmi na EAC!!

    confidence haiwezi kuzidi uhalisia wa mambo...watanzania bado tuna mambo ya kuyaweka sawa kwanza kabla ya EAC....ni utafita gani ulifanya Tuko ukaona watanzania walio wengi wanaweza kupata ajira Kenya?kwa mfumo upi wa elimu yetu unaomuandaa mtanzania kua competent katika ajira?watanzania bado...
  13. K

    Ufafanuzi kuhusu mikutano ya utatu kati ya nchi za Kenya,Uganda na Rwanda

    Tuko wewe sio mtanzania....mbona hili suala umelikazania ukiwa na mtazamo binafsi?...majority ya watanzania bado haioni uharaka na hilio shirikisho kwa sasa.
  14. K

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    acha ushabiki maandazi....FF amesema hizo nyumba ni za urithi kutoka kwa WAZEE wake....!kwa hiyo kama wazee wako wapo hai na wanavitega uchumi unataka aombe wafe ili naye amiliki vya urithi!wewe ndo walewale uwezo mdogo unataka upewe As then upate Div I kisa uislamu???
  15. K

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    acha uongo hapa jukwaani....ebu tuongee kwa evidence kidogo hapa...mimi nitatumia mifano michache kutoka st francis girls ya mbeya;mwaka 2009...kuna mabinti kama catherine,imaculata,jovita,gloria na sarah(sitotumia full names coz of privacy)...huyo cath alienda holland,ima akaenda uswis,gloria...
  16. K

    Watanzania waliosoma Havard

    kwa sasa kuna vijana kadhaa wa kitanzania hapo havard katika miaka tofauti....wengi wao ni wale wiliopitia shule kama IST,HOPAC,ISM na IIS...hizi shule zinazotumia mitaala tofauti na kitanzania..vijana wanajiunga na International Diploma katika hizo shule baada ya kufanya vizuri kidato cha nne...
  17. K

    Tunahimizwa Uzalendo Je nani Ameruhusu Majeshi yetu Kwenda vitani? Mbona Wabunge hawahoji?

    bona...Tanzania brigade are peacekeeping in Congo hiyo according to UN!hiyo yako wewe umetolea wapi?
  18. K

    Tunahimizwa Uzalendo Je nani Ameruhusu Majeshi yetu Kwenda vitani? Mbona Wabunge hawahoji?

    tanzania haipo vitani bali ipo kwenye majeshi ya kulinda amani ya UN au jumuiya nyingine za kamataifa katika nchi mbalimbali kama DRC nk....hilo ni suala ambalo ni maamuzi ya amiri jeshi mkuu...na issue ya Syria sio kulinda usalama bali ni military attacka which needs authorization from...
  19. K

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    "Serikali inasema matokeo mabaya na kusikitisha ya kidato cha nne kwa 2012 yanatokana na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutumia viwango tofauti vya madaraja yaliyozoeleka yaani ; 100-81=A, 80-61=B, 60-41=C, 40-21=D na 20-0=F. Lakini cha kushangaza hawataji ni madaraja gani mapya...
  20. K

    Bungeni: Taarifa ya tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne yasomwa

    Nimejaribu kutafakari bila kupata majibu sahihi ya tafakuri yangu, nimeona ni vyema kutafakari nanyi ndugu zangu kuhusu ili suala kutaka kurudiwa kusahihisha upya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2012. “Serikali inasema matokeo mabaya na kusikitisha ya kidato cha nne kwa 2012 yanatokana na...
Back
Top Bottom