Finished! Hatuna taifa tena! Thread mama ya hii iliyoanzishwa jana baada ya taarifa ya itv usiku, kwa masaa 24 (mbaka jioni ya leo) number of viewers ni zaidi ya 40,000 na comments ni zaidi ya 800. Lakini aina ya comments ndiyo zimetoa sura halisi kwani kuna jazba, kejeli, matusi, etc. Watu...
Tumefika hapa kutokana na vyombo vyote vyenye kumshauri Rais kuoza! Nilitegemea TISS washughulike na haya na siyo kudumaza democrasia kwa kusaidia kuiba kura eti chama Fulani kibaki madarakani. Utaifa uko wapi hapo?!
Unachoongea ni sahihi kabisa. Mimi nilinunua kifurushi cha internet cha mwezi 20,000/=GB 35 lakini internet yao imekuwa low au hakuna kabisa. Sehemu nilipo ni Mabibo hostel wengi wanasema maybe kwa kuwa watumiaji ni wengi. Sasa kama kampuni wanatakiwa wajue spatio-problems ya huduma zao!
Nakuunga mkono 100%. Mimi nilikuwepo kwenye mdahalo wa leo pale Blue Pearl Ubungo kimsingi hali ilikuwa tete sana kwa wanaccm. Nilichoshuhudia ni kwamba the majority ya waliohudhuria hawakutaka kbs kusikia chochote kinachojadiriwa nje ya Rasimu ya pili (maoni ya wananchi) yaani km vile serikali...
Ni kweli kbs Zembwela anatatizo la kutojua pillars of the gvt na mipaka yake kiutendaji. Kipindi cha Super mix kinachorushwa hewani kuanzia saa 3 hadi 7 mchana EA RADIO kilikuwa more logical akiwepo Michael Baruti kwani yeye aliweza hata kumbishia Zembwela pale alipoona kunaombwe fulani la ufahamu!
Usiwalaumu wapiga kura bali CCM ndiyo waliowafanya hivo kwa aina ya elimu wanayopata na umasikini wa kupindukia. Jah people na ccm yake walitumia mapungufu hayo kuingia madarakani!
Wewe ndiyo hujui geopolitics, msingi wa Wenje ulibase kwenye objectivity ya MoU kati ya M23 na DRC waliosign Uganda, ambayo imewasamehe baadhi ya wapiganaji wa M23 na kuruhusiwa kurudi Congo as nationals. Hata kama Membe ameongea ukweli lakini ndiye amechemka kwa kutamka kuwa M23 ni Wanyawanda...
Some people live because it is illegal to kill them. Nyinyi mmesahau kuwa kizazi cha leo na kijacho kinahitaji mwanga wa maisha bora kupitia taasisi thabiti za kiserikali ambazo chombo pekee chenye mandate for institutionalization is the legitimate national constitution. Siyo constitution hiyo...
Mkoa wa Mwanza wenye population watu zaidi ya milioni 2 (population census of 2012, URT population census report, 2013), lakini una mabalozi (high commissioners and ambassadors) watatu (3) tu, wakati huo Zanzibar yenye population ya watu 1,303,568 (population census 2012) ina mabalozi tisa (9)...
Muungano huu bwana, 15 kwa 43,625,434 (Watanganyika) na 5 kwa 1,303,568(Wazanzibar) siyo haki hapa wadanganyia tunaibiwa. Pia wanamabalozi nje wanaowakilisha Tz 15 (zanzibar) wakati huo mkoa wa Mwanza pekee wenye wakazi 2.5 million unamabalozi 2 tu wanaowaklisha Tz ughaibuni. Hii siyo haki kbs!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.