Search results

  1. Sinai

    Dr. Slaa kutinga Karagwe kupongeza wagombea na wananchi waliyoigaragaza CCM Mahakamani

    :A S-rap:Umekula maharage ya wapi wewe???? Lini ZZK alishinda kesi? Alichofanya ni kuweka zuio/pingamizi na mwisho wa siku Zitto akashindwa hiyo kesi wacha kuandika kitu usicho kijua!:A S-rap:
  2. Sinai

    Huyu roomate vipi?

    Huyo mate wako anahaki ya kuacha kila kitu na kuwasikiliza nyie, wewe mtu anasoma wewe unamletea mwanamke wa nini? Hiyo room imekuwa guest? Kwanini usiende nae hotel au guest au sehemu nyingine yoyote yenye privacy mkakaa huko na kupiga story zetu? Mtu anasoma wewe unamletea demu, unataka...
  3. Sinai

    Wabunge KUIKOMBA Hazina

    Kama ndivyo ilivyo, lazima nikamtoe Jenister Mhagama jimbo la Peramiho, maana haiwezekani mimi nifanye kazi kwa miaka zaidi ya 30 nipate kiinua mgongo cha mil. 40 halafu Mbunge miaka 5 apawe mamilioni yote hayo! Jenister Mhagama tukutane Octoba hukohuko jimboni Peramiho!
  4. Sinai

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Hivi kila mgomo unasababishwa na CHADEMA? Madereva wanawagomea waajili wao, na wanahoja za msingi hata serikali yenyewe inakili hilo! Ondoa ujinga jitahidi kuwa na mawzo huru, CCM wala CDM haihusiki katika hili!
  5. Sinai

    Kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa?

    Kile ni kilio cha furaha, maana anauhakika sasa wa kulala uchi kila siku na mume wake, siyo kama zamani ambapo alikuwa analala uchi mara mojamoja tena kwa kuibaiba!
  6. Sinai

    Ni nani aliyekutuma kuoa mwanamke flat screen?

    Kazi hasa ya makalio ni nini? Kwa uelewa wangu, kazi ya makalio ni kumsadia mwenye nayo aweze kukaa vizuri, hivyo kama mtu/mwanamke anaweza kukaa vizuri akiwa na makalio madogo au flat screen kuna haja ya kuwa na makalio makubwa?
  7. Sinai

    Kwa mnaojua hebu fafanueni hili naona kama wengi wanapotoshwa

    Safi sana, nimepenwa na majibu yako, kuna watu wanataka kutengeneza maana kwa matakwa yao hapa!
  8. Sinai

    Tuondoe ubishi juu ya wanawake wenye uke mrefu na mfupi

    Wacheni upuuzi huo, hizo habari za vijiweni viishie hukohuko kwenu!
  9. Sinai

    Augustine Mrema apitishwa tena na TLP kugombea ubunge Vunjo

    TLP imepitisha au amejipitisha kugombea Ubunge Vunjo? Naomba mnijuze wadau. Nijuavyo mimi, Mrema hana uwezo kwa sasa kushinda ubunge jimbo la Vunjo, nashauri apumzike asije kufa haraka kwa pressure za kampeni!
  10. Sinai

    Picha: Salum Mwalimu aiteka Sumbawanga na kuwatia kiwewe CCM na washirika wao

    Hata mimi hilo nimeliona, Tumaini timiza wajibu wako kwa wakati!
  11. Sinai

    Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

    Hatimae ukombozi wa Watanzania dhidi ya ukoloni mambo leo wa CCM unanukia!
  12. Sinai

    Afya Za Viongozi wa Kisiasa: Msisikilize Maneno ya Kuambiwa!. Kuona ni Kuamini!. Tazama Hii!.

    Mtoa mada umezunguka sana bila sababu, ungekuwa straight kuwa EL yupo fiti basi ingetosha!
  13. Sinai

    CCM yamvua Uanachama Mzee Hassan Nassor Moyo

    Kama ni kweli, chama cha CCM mkoa wa Zanzibar (Mweee samahani kumbe Zanzibar ni nchi) kimeamua kujimaliza chenyewe!
  14. Sinai

    Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

    Kwa Africka, tuliobaki na akili timamu ni mimi na mzee Mugabe tu bhass!
  15. Sinai

    Tumaini jipya kwa single people above the so called deadline (30)

    Wale akina dada/wanawake wazee (30+) nawashauri wakubali kuwa michepuko au wafanye maombi maalum ili wanaume wafiwe na wake zao ili waje kwenu, lasivyo mtalala na nguo zenu hadi mwisho wa maisha yenu!
  16. Sinai

    Miji inayoongoza kwa Uchafu Tanzania

    Dar es Salaam inashika number one lol!
  17. Sinai

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Kama hii story ni ya kweli, basi huyo mwanamke hafai kuwa mke, hata wewe ikitokea siku unaumwa na huna pesa, anaweza kukuacha ufe hata kama yeye akaunti yake inasoma vizuri! Nashauri achana nae tena kimbia wala usiangalie nyuma, huwezi kuwa na mwanamke mbinafsi namna hiyo!
  18. Sinai

    Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    Hiyo ni aibu kubwa sana kwa Florah na washauri wake!
  19. Sinai

    Unashinikizwa kuhonga? Shtuka, hujamkoleza au tena mwenzako ni Mjasiriamwili

    Duuh, Lara 1 kwa kunyea watu unatisha lol!
Back
Top Bottom