Search results

  1. Hamadi Mmari

    Kubadili jina la account ya JF

    Habari za muda huu wana JF, Naombeni msaada kidogo. Nahitaji kubadili jina la account yangu ila nimejaribu kupitia settings zote nimekosa. Nifanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Hamadi Mmari

    Upimaji wa DNA ni kiasi gani?

    Upimaji wa DNA ni bei gani kwa hapa nchini kwetu na njia zipi za kufuta ili kupima DNA?
  3. Hamadi Mmari

    Uhalisia wa majina ya wanaJF

    Hivi sijaelewa, kila member wa JF ninae muona humu ndani anatumia jina ambalo si halisi, sasa sijui ni ni terms and conditions za JF kuchit? Nawasilisha hoja...
  4. Hamadi Mmari

    Mgeni: Hodiii

    Hapa ndio JF? Naomba kukaribishwa, ingawa nilianza kwa kucoment posts za wanaJF! Habarini za muda huu wanaJF?
Back
Top Bottom