yaleyale ya kukurupuka, watanzania bwana, Soma habari yote uielewe au rudia tena, hii paragraph umeisoma kweli? miezi sita ni ushauri wa fedha anayotakiwa kuwa ameiandaa kumlipa walau kwa kipindi hicho huku akijiboresha katika kukua kibiashara, hii haina maana kuwa utampatia yote.
Ni kuwa na...
TIPS: JINSI YA KUANZISHA BIASHARA YA PHARMACY KWA UFUPI by sonaderm, Nov 23, 2015.
Maelezo kifupi namna mtu anaweza kuanzisha hatua kwa hatua biashara ya Dawa au kama inavyojulikana na wengi yaani Retail Pharmacy.
Lakini kabla sijaenda moja kwa moja kwenye hatua hizo, ni muhimu basi kuweza...
soma hii lianzishwa na sonaderm humu JF inaweza kukufaa
TIPS: JINSI YA KUANZISHA BIASHARA YA PHARMACY KWA UFUPI by sonaderm, Nov 23, 2015.
Maelezo kifupi namna mtu anaweza kuanzisha hatua kwa hatua biashara ya Dawa au kama inavyojulikana na wengi yaani Retail Pharmacy.
Lakini kabla sijaenda...
uimara wa matofali unategemea na aina ya mchanga, aina ya maji unayotumia, aina ya cement, machine inayotumika kuyatengeneza na umwagiliaji wa maji baada ya kufyatua hasa hasa siku sita za kwanza tokea kufyatua. Mchanga wa kolongoni au unaopatikana kwa kuuuzoa mitaani ni tofauti sana na ule...
Mkuu hizo ni stori za watu tu ukweli halisi haupo hivyo, hebu soma hapa labda mimi naona vibaya, pitia hii link uone halihalisi
CHANGAMOTO YA KUKOSA SOKO LA UHAKIKA KWA WAKULIMA CHANZO CHA UMASIKINI
WAKULIMA wa zao la dengu katika kijiji cha Amani kata ya Salawe halmashauri ya wilaya ya...
hao wote kuwa na vitu hivi bado sana, mwenye uwezo aangalie DSTV kwa raha zake asiye na uwezo abakie na hivi videcoder vya kibongobongo maana biashara huria hata nguo kariakoo inatofautiana na inavyouzwa posta hata kama quality ni ileile, ukiuliza utaambiwa kodi ni tofauti. ndio inavyokuwa kwa...
m
mkuu Mungu akubariki sana kwa hili maana umenifundisha kitu na jamii kwa ujumla, hebu tupatie huo mchanganuo kwa maeneo ya Singida hasa maeneo ya Mkarama huko au kiomboi ili nijipime maana long plani yangu ni kufanya hivi vitu baadae ili nianzishe kilimo cha umwagiliaji. ahsante natanguliza...
Ehee haya ndio maneno yanayotakiwa, mkuu Magnificient ubarikiwe sana kwa elimu uliyoitoa hapa maana hujui tu imesaidia wengi kaka. Mimi binafsi nitakutafuta kupitia PM ili unitumie hizo documents maana nategemea miezi kama mitano ijayo nianze hii biashara, ubarikiwe sana kwa msaada wako kwa jamii.
Huwa nasikitika sana ninapoona mtu anaanzisha thread kama hii but hakuna mtu anayechangia , unakuta mtu yuko bissy anachangia siasa kutwa nzima thread imejaa watu wanajadili zito, mbowe, JPM, baba ridh1 etc huku tunaacha kuchangia ishu kama hizi za maana ili tujikwamue, ni hatari sana.
Haya hebu toorodheshee vifaa ulivyoanza navyo na mtaji ulikuwaje, ulifanyanyaje na pia tuelezee mazuri na mabaya pia na changamoto mbalimbali ambazo ulikutana nazo ili na wengine tujifunze maana JF ni darasa huru la kila mtu. nadhani maelezo yAKO NI MUHIMU KWETU
umeongea kwa hekima sana, Mungu akubariki. huo ndio ukweli pia ingewezekana kushauriana kwa hekima kuliko kutukanana jamani haipendezi. hapa tunashauriana na kupeana mawazo mbadala yenye lengo la kujenga kuliko kubomoa.
ndugu kilimo kinaitaji timing na kufuata taratibu zake zote, pia kua makini na madalali hawa wanaletaga presha zisizo na msingi, hawajui ugumu wa kazi ulivyo na gharama zake wao wanachojua ni kupiga faida tu kuijanjaujanja.
Usife moyo Mungu atakupigania, hayo ndio majaribu, jipange upya nenda...
kweli na mimi kipindi flani nilikwenda access bank wakaniambia hivyo, ni vema kuwaona na kuwauliza kisha waambie wakupigie esabu kabisa kua utaondoka na nini baada ya muda uliouchagua kufika, hawana tatizo watakusaidia
fixed account huwa ni kiasi ulichoweka x muda x rate/100
mfano unataka kuweka mil 100 fixed account kwa mwaka (miezi 12) kwa rate say 8%
calculations inakua 100,000,000 x 12/12 x 8/100 = 1,000,000/= hii uliyoipata toa 10% yake kama kodi inaenda serikalini.
10/100 x 1000000=100,000/= utabakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.