Search results

  1. fimboyaasali

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    sio kweli,mpe nafasi mtu anaye shutumiwa ili atoe majibu ndipo unaweza kutoa uamuzi
  2. fimboyaasali

    Wana Yanga SC si vibaya sana kama mkituchagulia Sisi wana Simba SC namna ya Kujipoza na Kipigo chenu Kwetu cha jana

    mimi naunga mkono simba iwe namba 2 azam sipendi wawe namna 2
  3. fimboyaasali

    Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

    ataenda kengold
  4. fimboyaasali

    Live coverage Azam ni mbaya

    nimeona japo kwa sasa wanaweka mitambo ya dtt kwa baadhi ya mikoa
  5. fimboyaasali

    Live coverage Azam ni mbaya

    azam wamewekeza mpaka wana digiltal terrestial broadcasting equipment,haistahili hii hali hii
  6. fimboyaasali

    Live coverage Azam ni mbaya

    kwa uwekezaji wa azam mpaka wana dtt,haistahiki kuwa hivi
  7. fimboyaasali

    Live coverage Azam ni mbaya

    Ukiacha matangazo ya mpira,matangazo mbashara ya taarifa za habari,ama adhuhuri au alaasiri ni mbaya sana,picha mbaya sauti mbaya,hebu tafuteni ufumbuzi wa hili
  8. fimboyaasali

    Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    acheni kutaja makabila ya watu,kuhusu muhindi kwani hamkumbuki muhindi gulamali alimgalaza mwarabu bakhressa?
  9. fimboyaasali

    Kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi

    Ni kwamba Mwamnyeto ana hufanya makosa mengi sana
  10. fimboyaasali

    Kiki za kijinga zimemgharimu GB 64

    na muulize huyo gb 64 ashawahi kuchangia simba japo laki moja?
  11. fimboyaasali

    Kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi

    Jana tumeona kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi na Gamondi, ni mtu wa kukaba kwa macho tu.
  12. fimboyaasali

    Nikiisikia hii Kauli ya Kitoto, ya Kishamba na Kipuuzi kutoka kwa mwana Simba SC, basi nitamuombea Msamaha kwa Mungu katika Maombi yangu ya Leo

    fred kafunga goli zuri na kawagalagaza top defenders wa nchi mwamnyeto na bacca
  13. fimboyaasali

    Kama Mamelodi wamecheza na Esparance nusu fainal ya kwanza vipi rufaa ya Yanga?

    rufaa za mpira haibadiki ushindi bro
  14. fimboyaasali

    Mayele na Feisal wanateseka moyoni

    tena sana
Back
Top Bottom