Search results

  1. Mkatanyasi

    Madai ya walimu ni karibu trilioni moja bado polisi, jeshi, wazabuni na kada nyingine!

    Hakuna anaekataa kuwa "hakuna madai hewa" katika deni hilo isipokiwa; kwa kipindi cha mwaka mzima sasa bado madeni hayo yanahakikiwa tu? Kama ndivyo, kwa ukimya huu bado hamjampata hata mmoja ambae anastahili kwa haki kulipwa ili alipwe? Ama mmeishawapata wawili hivyo mnasubiri wafike kumi ndipo...
  2. Mkatanyasi

    Tuambie kama ungeweza kuzirudisha siku nyuma, ungetamani urudi kipindi kipi na ungelifanya nini?

    Ningerudi hadi mwaka 2005 na kumwambia mtu mmoja namna alivyo muhimu kwangu. Kwa sasa ni mwana ndoa huko aliko and I'm happy that she enjoys life there.
  3. Mkatanyasi

    Ni nani anayesema kuna ukame nchini?

    Wenye "macho mawili" wakiisoma post hii watakukosoa but kwa "macho ya ziada", ha ha haaaa hakika huu ni uchochezi. Hata mimi, ninaona "kijani kitupu" kwenye picha hiyo...[emoji12] [emoji12]
  4. Mkatanyasi

    SIMANZI: Ajinyonga baada ya kusalitiwa na mpenzi wake, aacha barua yenye ujumbe mzito

    Ukiichukulia juu juu, "jaama alikuwa mjinga kwa kuutoa uhai wake kwa sababu ya mwanamke" lakini ukiamua kuwa serious na kuacha hadithi za kwenye kahawa; the situation can happen to any of us. Mpaka kufikia hatua ya kujitoa uhai mtu huwa amepitia mengi kiasi cha kutoon option nyingine yoyote...
  5. Mkatanyasi

    Tatizo la kula/kutafuna kucha

    Unaweza ukaacha kutafuna kucha "kama utataka". Hakuna aliezaliwa akitafuna kucha isipokuwa hayo ni matokeo ya kimazingira. Tatizo la kutafuna kucha tena "mpaka kuitwa tatizo" si kidogo. Kwa wenzetu wanasaikolojia wanaliita "tatizo la kitabia" na kwa watafunaji wengi, huwa kuna mazingira...
  6. Mkatanyasi

    Hivi huku ndo kuinyoosha nchi au ilikuwa ni chuki tu?

    Mtu anakurupuka na kuhoji "mnasema maisha yamepanda kulinganisha na nini?" Hivi kweli, huna kabisa kabisa uwezo wa kulinganisha "leo" na "jana" ukiachilia mbali awamu zote zilizopita? Au unataka mpaka tulinganishe na nchi jirani ndo ujue yamepanda? Msiwazie kupata "teuzi" kwa kudhani mtaonwa...
  7. Mkatanyasi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    "Tu" si kiashiria kizuri cha ukomo wa kitu endapo na vingine vipo.
  8. Mkatanyasi

    Hivi huku ndo kuinyoosha nchi au ilikuwa ni chuki tu?

    Unapoisikia kauli ya "WATAISHI KAMA MASHETANI" na unashangilia basi unakuwa na shida flani. Waliotutangulia walisema; "KILA SHETANI NA MBUYU WAKE". Huyo anaeitwa "mkwepa kodi mkubwa" na majina yanayofanana na hilo alifikia hatua ya kuishi "KAMA SHETANI", hujiulizi wewe utakuwa unaishi kama nani...
  9. Mkatanyasi

    Hivi huku ndo kuinyoosha nchi au ilikuwa ni chuki tu?

    Na ndio wanaoshangilia utadhani mandodocha.
  10. Mkatanyasi

    Waalimu wahamia kuendesha bodaboda na kupiga picha mitaani

    Unajua nini? Hivyo vipindi vyenyewe unakuta mtu amevimaliza muda wa asubuhi na hana kipindi mchana wote. Akae tu shuleni kama kengere? Wakati huo wanafunzi wana vipindi vingine. Jamaa anamaliza vipindi, anadandia boda, anakula vichwa; "hapa kazi tu." Tusidanganyane; kuna shule (ingawa si...
  11. Mkatanyasi

    Waalimu wahamia kuendesha bodaboda na kupiga picha mitaani

    Besides, wanaedana na kauli mbiu ya mkubwa; "Hapa kazi tu" na wanaifanya kweli hiyo "kazi". Mtu unaambiwa "hapa kazi tu" na toka uanze kuifanya hiyo "kazi", huoni matunda yake zaidi ya kelele za wanafunzi na vumbi la chaki. Kwanini usidandie bodaboda uondoe vumbi la chaki kwa upepo wa barabarani?
  12. Mkatanyasi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kusumbua watendaji mwanzoni mwa mwaka ni dalili za "usumbufu" mwaka mzima.
  13. Mkatanyasi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tanzania, nakutakia Kheri ya mwaka mpya na kuyaona ya mwaka huu pia.
  14. Mkatanyasi

    Naomba msaada wa tatizo la kikwapa

    Deodorants zin tabia ya kubadilisha hali ya kwapa. Si nzuri sana kwa kutatua tatizo la kutokwa harufu isiyovutia kwenye kwapa bali hufnya kwapa kuficha harufu na ple utakapoacha kuzitumia tu, unaweza ukajuta kuzifahamu. Kama walivyoshauri wengine, ni bora uktumia maganda ya limo na kuzingatia...
  15. Mkatanyasi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Shemejifacebook siku hizi hana jipya, mambo yote shemejiwhatsapp...
  16. Mkatanyasi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mahanjumati niliyokula jana kwa ndugu na jamaa, hakika yalikuwa matamu mno...
  17. Mkatanyasi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wamekimbilia upande wa pili penye malisho bora zaidi...
  18. Mkatanyasi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    "Kwoti'' maneno yangu kwani iko siku utayakumbuka.
Back
Top Bottom