Search results

  1. mdundo ngoma sana

    Manchester city wataangamia vibaya mno leo

    Wazee wa come back leo watafanya kufuru pale etihad
  2. mdundo ngoma sana

    Je! Ni Conte au Mourinho FA Cup?

    mourinho ni tactician ambaye anaamini kwenye ulinzi.amekuwa akizikomesha timu nyingi ambazo ni offensive
  3. mdundo ngoma sana

    Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    uzi wako invalid.raia tupo rafu sana kuliko wanajeshi
  4. mdundo ngoma sana

    Hawa ndio wachezaji mastaa watakaokosa kushiriki Kombe la Dunia 2018

    Tshishimbi wa Yanga masikini wapanda ndege wafungwaji waliobobea
  5. mdundo ngoma sana

    Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Nimekuwa nikisikitishwa na kauli zako mama Kanumba tangu msanii Lulu alipohukumiwa.mama yangu mama Kanumba,binadamu ni vyema tujifunze kusamehe.kufungwa kwa Lulu hakutokufaa chochote,kumbuka mwanao marehemu pia alikuwa na makosa ya kutembea na binti mdogo kinyume na maadili ya mtanzania.Hata...
  6. mdundo ngoma sana

    SHAHIDI: Chusa alipanga mauaji ya Bilionea Msuya

    ahsante mwandishi tunajifunza kupitia andiko lako.God bless u
  7. mdundo ngoma sana

    Guardiola ameiumbua E.P.L

    na kipigo kala vizuri tu
  8. mdundo ngoma sana

    Guardiola ameiumbua E.P.L

    alichofanya ni kawaida wenzake pia walifanya
  9. mdundo ngoma sana

    Hii ni kwa wanaume wenzangu mabaharia yaani wazamiaji

    Ndugu wanaume wenzangu, Siku hizi kuna magonjwa ya wanawake mengi ambayo yametishia kabisa uwepo wetu sisi wazamiaji haswa chumvini. Kwa maana kansa ya shingo ya kizazi ukiilowekea mdomo sidhani kama utatoka salama. Vilevile U.T.I imetishia kwa kiasi kikubwa utaalamu wetu kwa maana unaichukua...
  10. mdundo ngoma sana

    Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

    uzee sio laana,sote tunautafuta uzee,usiupende sana ujana haudumu
  11. mdundo ngoma sana

    Kardinali Pengo hatajiuzulu

    uliyeandika utakuwa padri
  12. mdundo ngoma sana

    Diamond anaposema "bana choo" na "paka mate iteleze" unaelewa nini?

    haya maneno yanaishi hakika ipo siku ya mwisho na akhera
  13. mdundo ngoma sana

    Jinsi mashehe walivyotumika vibaya harusi ya Ali Kiba

    mkiitwa kwenye shughuli za hivyo wekeni misimamo kama wanazuoni.vinginevyo sio haki kutozuia maovu kwa mikono yenu
  14. mdundo ngoma sana

    Jinsi mashehe walivyotumika vibaya harusi ya Ali Kiba

    kila mtu ni mchunga na kila mchunga ataulizwa juu ya alichokichunga
  15. mdundo ngoma sana

    Jinsi mashehe walivyotumika vibaya harusi ya Ali Kiba

    Katika harusi hii Masheikh na viongozi wa dini mmetumika vibaya mno na mmekuwa wanafiki kwa kutokusema ukweli. Kwa mafundisho ya dini mke wa Ally Kiba alikuwa uchi kwa maana maziwa yake yalikuwa wazi na ameyabusti mbele kushawishi kitu ambacho mlishindwa kukemea.Aidha kwa kuogopa kunyimwa...
  16. mdundo ngoma sana

    Mbunge (CCM): Kwanini wimbo wa 'Mwanaume Mashine' umefungiwa?

    sasa kwa taarifa yako mwanamke anaweza kufanya vitu vingi ambavyo mwanaume hafanyi
Back
Top Bottom