Search results

  1. M

    Wachumi tusaidieni, Mtaani hali ngumu fedha hakuna biashara imekuwa ngumu. Pesa iko wapi?

    Ofisini hali ni mbaya sana juzi kulikuwa na kikao nikawa naisubiri laki na nusu kwa hamu kikao kikiisha nikafanye shopping ya vitu vya home matokeo yake kimeisha hatujapewa hata senti tano hata chakula hatujala. Kweli sasa tunaisoma namba!!
  2. M

    TFDA yakamata kiwanda bubu cha kutengeneza vipodozi Arusha

    Ndiyo maana wanunuzi hawaishi kubabuka na kuweka michirizi ktk ngozi kumbe sababu ndiyo hii ya kudondokea kwenye vipodozi fake
  3. M

    Mliowahi kuacha kazi mlifanyaje? Nataka kuacha

    Chukua likizo bila malipo ndani ya mwaka mmoja uangalie kwanza upepo unavyoenda ukiona unaweza.maisha ya mtaani ndiyo uache. Mtaani kugumu sana ndugu yangu!!
  4. M

    Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

    Ahaaaa! Eti shetani amempiga chenga!! Wewe shetani umemkaribisha mwenyewe halafu eti umsingizie?
  5. M

    Dada wa kazi

    Nkungulume kuwa makini usije tapeliwa, wenzio tulishalizwa ktk hilo!!
  6. M

    Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

    Hata ununuzi wa nguzo ni jipu linalotakiwa kupasukiwa. Why tununue nguzo wakati ni malighafi yao kibiashara!
  7. M

    Tetesi: Wachina wafukuzwa Kariakoo?

    Nimetoka kkoo leo hakuna kitu kama hicho nimeona wachina wanaendelea na biashara zao kama kawaida
  8. M

    Unapendelea Bosi wa kike au wa kiume?

    Wa kike ni noooma! Hata akiwa Prof bado ana vitabia vya kiswazi atataka kufuatilia vitu vidogo vidogo kama yuko nyumbani kwake vile!
  9. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wanajamii? mi nina cresta Gx 100 juzi juzi imeanza tatizo nikipak juani sana nikija kuwasha nakuta pale panapoonyesha kilometre panafuta na pia gari inakuwa nzito ghafla kwenye daahboard kuna leta alama ile ya on/off mfululizo ila nikiendesha mwendo mrefu gari inarudi ktk hali ya kawaida...
  10. M

    Kupunguza Ada ya shule binafsi imeshindikana?!

    Yaani Shule binafsi ni jipu, linahitaji kupasuliwa!! Shule wanayosoma wanangu ndiyo kwanza wamepandisha ada kiasi ambacho kimetuacha hoi!!
  11. M

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Acheni majungu nyie hakuna chuo kinachomjenga mwanachuo kama OUT. Mtu anayemaliza hapo kwenye vitendo anakuwa jembe kwa maana amejifunza kutumia akili yake asilimia 100 tangu anasoma
  12. M

    Kiatu cha mtoto kuning'inizwa kwenye gari

    viatu huwavuka watoto bila wazazi wao kujua pale wanaposhuka kwenye gari so konda anapokiona anakitundika ili mzazi akione
Back
Top Bottom