Search results

  1. BarajaMkush

    What happened to our 767-300 freighter promised to arrive in the country April 2023?

    Eeeeeh, faza umekicharaza Kikoloni!? Tafasiri tafadhali
  2. BarajaMkush

    Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Tena ukimkuta ofisa wa TRA hapo anakuambia hiyo Kodi nimekufanyia favor tu, haikutakiwa iwe hiyo. Huku anazunguka kwenye kiti huku akipulizwa na kipupwe kwa mbaaali.
  3. BarajaMkush

    Ejaculation is the only sweet feeling of sex for male person!

    Sijui ni kuzeeka ama namna gani Nimetoka Kapa
  4. BarajaMkush

    Mchepuko umeninunia kisa nimeandika hivi kwenye status.

    Wanawake narudia tena hili, Sio Kila Anaekojoa amesimama ni Mwanaume .
  5. BarajaMkush

    Hawa ndio Wenye Kurithi Pepo ya Firdaus

    Na ni kwa huyo huyo Mungu mmoja mnaemuamini!?
  6. BarajaMkush

    Hawa ndio Wenye Kurithi Pepo ya Firdaus

    Kumbe peponi nako kuna madaraja!?
  7. BarajaMkush

    Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

    Tangu alipotufokea tulipokuwa tunahoji kuhusu alipo Jiwe tena kwenye nyumba ya Ibada, binafsi sijawahi msikiliza tena baada ya pale
  8. BarajaMkush

    Hiki kimrija nimekikuta chooni sielewi natumiaje

    Hako kadubwana ukikakosea tu kukabonya, walowesha sarawili yako makalioni
  9. BarajaMkush

    Dilemma: Nipiganie Damu Yangu ili Ndoa Zetu Zitikisike au Ninusuru Ndoa Zetu lakini Damu Yangu Ipotee?

    Ndiye wewe Lugumya wa Kimkweche!? Ndiye wewe Lugumya wa kumtilia mdada wa watu makaratasi kwenye bahasha ukamtomba na kimkabidhi bahasha uloifunga vizuri akidhani ni laki Tatu!? Ndiye wewe wewe Lugumya wa kukitomba kitoto cha Kimbulu!? Enewei, jitahidi uwe na amani, mtoto yupo kwa Mama yake...
  10. BarajaMkush

    Kwanini mtu akiwekewa mkojo kwenye bia anazima?

    Kojo au Chozi, wanasema ni moto wa kuhisia mbali
  11. BarajaMkush

    Msione mtu anamn'gang'ania mtu kuna vitu havielezeki

    Oya Wakuu wa Kazi, huyu Dada alichokiongea waweza ona ka kapagawa vile. Kuna watu kmmmmmk, Kuna bibie huyo wa kimasai nimeishi nae nilichokuwa namfanya home nilikuwa namkojoza kmmmk mpaka anakosa nguvu za kuinuka hata kujigeuza tu, tukazinguana mwaka ulopita mwezi wa nne akaja nitafuta mwenyewe...
  12. BarajaMkush

    DART yapendekeza nauli kuwa TZS 1,500

    Nadhani ingependeza iwe buku dasi kabisa ili tukome kabisa na viherehere vyetu. Na waruhusu daladala njia hiyo zianze kufanya kazi waione kazi
  13. BarajaMkush

    Mawaziri kumbukeni kutumia hekima mnapokinzana na walio chini yenu vinginevyo mtaua ubunifu

    Hivi Bashungwa ndio atakutana na mgomo wa malori tarh 25/04 sio
  14. BarajaMkush

    Maana ya alama zilizopo katika lebo ya nguo

    Dry Clean sio tu kufua kwa mashine, hapa huwa panawachanganya wengi mno. Usihitimishe usokijua
  15. BarajaMkush

    Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Ila yote ya yote sisi Wanaume ni watu wenye Ukamilifu wetu mnoo! Sisi kwetu kuishi na mwanamke asiyekuwa na kazi wala namna yoyote ile ya kipato huwa sio jambo. Tunaweza ishi na mke asoingiza hata senti kwa miaka 10 ila akapendwa bibie yule na kujiona ni mmiliki wa dunia hii ila upande wa pili...
Back
Top Bottom