Search results

  1. bambi_

    Sio kila saa mwanaume anataka kufanya mapenzi

    Sio kila wakati mwanaume anataka kufanya mapenzi na sio kila wakati mwanamke hataki kufanya mapenzi. Hicho ni kitu nmejifunza hivi punde. Inasemekana kuwa wanawake hawapendagi ngono sana ila ni uongo. Kuna mida ikifika mwanamke anawaka moto na anataka kulala na mtu vibaya sana.Lakini pia...
  2. bambi_

    Naonekana na slugisha discussion kumbe

    From my previous post naonekana kama na-pretend ila its serious. Mimi sio mwana jamii forum nmejiunga kwasabbu ni moja wapo ya sehemu niliambiwa nitapata majibu. Tatizo langu ni kwamba na ndicho nilichokuwa nauliza tangu my previous post sema nilianza kwa a story ili tuelewane katika...
  3. bambi_

    Sitaki kulala (sex) nae mpaka ndoa lakini yeye haelewi hilo

    Bwana wangu na mimi tuko kwenye mahusiano ni mwaka wa 3 sasa. Tulikubaliana tangu mwanzo hatutofanya hayo mambo mpka ndoa. Hivi karibuni amekuwa akinipressure na hataki kuelewa kuwa siko tayari. Sababu yangu tangu mwanzo ni kwamba "mungu hapendi, ni kinyume na maagizo yake" lakini yeye anasema...
Back
Top Bottom