Search results

  1. C

    Natafuta canter tipper ton 2

    Husikeni wadau bajeti yangu ni milioni 12 natafuta gari Niko Moro 0752048709
  2. C

    Msaada je kwa tecno c8 nawezaje kuiroot

    Naombeni msaada Kama kuna uwezekano wa kuroot hii simu yangu Tecno c8 kwa matumizi mengine ikiwemo ifont asanteni
  3. C

    Msaada wa card ya flat singsung inch 24

    Wataalam nisaidieni naweza pata wapi card ya flat screen yangu imepiga shot na haifai. Niko mkoani Njombe namba 0752048709 mwenye uelelewa nitapata wapi na kwa bei gani. Natanguliza shukurani asanteni.
  4. C

    Msaada kwa wakazi wa Mbeya

    Kama kichwa cha habari wakuu natafuta mafundi wa flat tv kwani Nina shida ya card kwenye singsung flat nch 24 natafuta Fundi mwenye nayo tuwasiliane nijue na bei 0752048709
  5. C

    Wataalam wa apps za simu msaada tafadhali

    Habari zenu humu jf naombeni msaada wa application ambayo huweza kunibadilishia maandishi kwenye icon yaani Screen icon menu kuwa na muonekano tofauti wa kimaandishi napendelea hasa ule mnyorongo wake kama wa fonts style asanteni kwa mlionielewa simu yangu ni Tecno c8 sijajua endapo itasupport...
Back
Top Bottom