Search results

  1. C

    Mjadala wa Dowans ITV wasitishwa

    hahahahahahaha!!!!!! duu!!! kweli silolijua ni kama usiku wa giiiiiiiza!!!! eti MENGI ANA UCHUNGU NA NJI HII? ulizeni muambiwe!!!!!
  2. C

    Hii ya mtu kufyatua risasi ktk msiba aliohudhuria Dr. Slaa imekaaje?

    hata mimi nilikuwepo pale jamani, wajaluo walikuwa wanafanya mambo meengi ya utani, nk lakini pamoja na kuona utani huo si mzuri mbele ya wakubwa walisubiri waondoke ndipo wakafyatua kitu chenye mlio kama risasi yule mlevi wala hakuwa na bastola au bunduki!!!. Sasa watu tayari mmeanza...
  3. C

    Shibuda kuwakilisha Bunge APRM

    huyu bw. mbali ya mashairi yake na nahau lakini ni mthubutu na mtetezi mkuu ataweza hasaaaaa!!!!!!!
  4. C

    Wabunge wazoa Sh 90mil kila mmoja kujinunulia Magari

    Duuuuuu!!!!!nataka nione hao chadema wakisusa hizo milioni 90 kwa mapenzi makubwa waliyonayo kwa wananchi wao subuuuutu!!!!! ni wanafiki!!!! wakatae basi tuone!!!!hata huyo rais slaa mbona alipiga kelele za mishahara ya wabunge lakini mshahara hakuutoa hata siku moja!!!!
  5. C

    Flora Nducha ameolewa na nani?

    sasa kuolewa ni nongwa? hovyoooo....ukimjua ndo iweje? ndo yale yale ya mara oh.......charles boniface kaachana na mkewe betty mkwasa mara oooo kajengewaa na wanaume nyumba ya ghorofa mara ooooo ana mabwana ukiwa nazo tu wee twende mtakalia hayohayo wenzenu wanayeya........ lakini si busara...
  6. C

    Mary Chatanda

    kwa uzuri ni mzuri tuache ushabiki!!!!! na hiyo guest kujenga si ajabu tena mnasema kaguest? huyu mama anaweza kujenga liguest kwa kuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa mbao za umeme ana malori ambayo husafirisha mbao zake kwenda kenya!!! msiwe mnaropoka bila kuchunguza!!!! hiyo ni moja tu ya...
  7. C

    COTECNA na TISCAN: IPTL nyingine?

    Kweli duniani kuna mambo!!!! huyu mwandishi dc wa korogwe mimi namfahamu fika kwanza bado yuko na mume wake jana leo, yaani huwa nawaadimire wanavyoishi ni jirani zangu pale tegeta. lakini pia ile nyumba kajenga yeye na mume wake wakati huo mume akifundisha mpira uarabuni alikuwa anamtumia...
  8. C

    Aibu rais kulala hadharani!

    sidhani kama hapo kalala ninavyomfahamu bw. huyu ni hodari hachoki hata anapokuwa katika ziara zake za mikoani wasaidizi wake hukoma!!! akiamua kutembelea miradi hata kula chakula huwa hakumbuki isitoshe jamani huyu Rais wetu ni binaadamu kama wewe ambaye unadai siyo rais wako sasa kulala iko...
  9. C

    Mengi anatarajiwa kufahamu watendaji wake wote kwa majina?

    Jamani mnazidi kuboronga mkurugenzi wa capital yvone tv msemembo, ila Mengi alikuwa enzi zake anawapenda saaaan wasoma habari ITV kama John Ngayhoma, Suzan Mungy Betty Mkwasa Laura George hao subutuuu!!!!! hata umkurupushe vipi atakutajia
  10. C

    Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

    Ohhhhhhhh!!!!! jamani sugu kweli una bahati maana huyu mama hupenda rasta wazungu, halfcast, waarabu na saaaaaana BANGI duu sasa kaanza mwaka kwa kubadili mapigo kaingia kwa MKINGA!!!!!!! Yetu macho, bibie huwa anaingia mzima mzima huyo na atatangaza ndoa sasa hivi!!!!
  11. C

    Aina nyingine ya uchakachuaji tuamke

    Nimekupata mkuu wangu wewe nadhani ni kati ya wale watu ambao hawana imani na kila kitu kinachofanywa na serikali, hayo ni mambo tekelinalokujia mnyonge mnyongeni haki yake........
  12. C

    twiga stars mnaiionaje?

    kale katimu ka wanawake wa bongo mwaka 2010 kailifanya vizuri saaaana naiombea na mwaka huu wapewe nguvu na wafadhili watinge tena fainali na kufika mbali maana niliona wadada wale walijitahidi sana. Lakini nimpongeze kocha wao mtulivu charles b. mkwasa na kumpa pole sana mkewe kwa kuvumilia...
  13. C

    bongo star search

    inachefua hasa inazidi kupoteza umaarufu imagine siku ya fainali majaji walivyolewa madamu rita alikuwa nzwii!! huyo master hata aliyokuwa akizungumza siku ile ukimuuliza leo hakumbuki!!! hawako serious hawa watu!!!!!! na hao wadhamini wao wangeleta hizo fedha kwa watoto wetu vijijini wanaokaa...
  14. C

    Richard wa BBA na mambo ya Fweza chumbani

    afadhali richard baada ya kupata mifweza kafanya kitu cha maana yaani katumia kwa kutengeneza filamu inayolipa na kutoa mafunzo siyo yule shemeji yangu mshindi wa pili wa mwaka ule.......hakufanya cha maana aliishia kubeba tu mastaa wakamla ile mbaya bahati yake aliitwa tena bba lakini si haba...
Back
Top Bottom