Search results

  1. K

    IT department ya NACTE mnajielewa kweli?

    Hawa watu wa IT department ya NACTE kama wameshindwa kazi kwanini wasijiuzulu?? Nimekuwa nikijaribu kufanya usajili kwa takribani siku tano sasa lakini kila nikija kwenye ku-choose course niki-click sipati majibu yoyote. Nikawatext NACTE wakanijibu eti, “Tatizo lako tunalishughulikia jaribu...
  2. K

    NACTE INAWATESA WATANZANIA

    mtu anaingiza details zake sahii kabisa tena kafaulu vizuri mwaka 2015 tena ana appy ualimu alafu anajibiwa"Error! Provided Index number and Examination Year not found in our database, check them and try again (Code 4001"................mnataka mtuambie kuwa hamjaruhusu maombi ya ualimu au...
  3. K

    Chama cha Walimu kinasimamia maslahi ya walimu?

    Walimu jitambueni na hiki chama chenu cha walimu Tanzania.jiulizeni kimewanufaisha nini? Na je wale walio staafu umewaona wamefaidika nini na uanachama wao? Michango ya uanachama kila mwezi inakwenda wapi? Na je unataarifa gani juu ya miradi ya chama chako hiki? Je chama hiki kimewai kaguliwa...
  4. K

    Kama unaidai malimbikizo ya mshahara halmashauri yako

    Kwanini madeni ya walimu hayaishi? chanzo ninini,nani anayetakiwa alipe madeni hayo?,mbona kada zingine hazina madeni kama ya walimu.pia halmashauri zingine walimu hawana madeni ya kutisha kama zingine.walimu wa sengerema hongerani kwa kudai madeni yenu inaonesha mnajitambua na kujielewa sana...
Back
Top Bottom