Hiyo picha hapo yupo luwasa peke yake nakichwa cha habari cha mjadala huu ni uwepo wa luwasa kanisani au kipi nali dr sheni na wana ccm uliwahi kuwaona wakiingia msikitini kwa wingi kama walivyo ingia hao wa CDM na sare za chama?
Hiyo siku marehem Mloo aliyozikwa je wana CCM walihudhuria hayo...
Mzee Jumbe alitufundisha jinsi ya kumuheshimu allah subhana wataala akiwa na madraka gani ktk nchi hii na mwaka gani na sehemu gani alitolea huo wasia?
Mbona unachangnya mambo mawili tofauti.
Hivi huoni ww kama CDM wanakosea sana kujiegemeza ktk ukiristo wakati wakijua hii nchi sio wakiristo...
Hakuna tatizo lolote duniani ambalo adhabu yake ni kujiuwa.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuchukuwa hatua ya kujiuwa.
Ivi unafikia kuruzukiwa umri kama huo wa miaka 74 ni kitu gani tena ktk dunia hii kitakusumbuwa kipi kitakuwa kigeni kwako ambacho hujawahi kukutana nacho au kukisikia au...
M/zimungu hutoa nafasi za toba kwa binaadam wake ili kumrudia allah na kuomba msamaha kwa yale tulio mkosea muumba wetu.
Hakika nakiri mbele ya allah huyu mzee ametubu mbele ya allah kwa dhati kabisa.
Muda wote tokea ajiuzulu nyadhifa zote za serikali na chama hakuwa na ziada zaidi ya kufanya...
Mkuu hicho kigezo ulicho kitumia cha wadada wa kazi sio sahihi kila jamii tunaona wadada wa kazi wakipata shida hapa kwetu tz waswahili kwa waswahili wanatesana kila kukicha.
Tunaona uganda kenya na nchi kadha za kiafrika zikinyanyasa wadada kazi na hata wadada wakazi nanawatesa matajiri zao au...
Mzee ms inaonekana viongozi wengi wa znz ya nyuma ya miaka 1970 walikuwa na uhusiano wa hali ya juu na serikali ya cuba?
Nakama ndio hivyo nini kimeondoa urafiki huo mkubwa uliokuwepo baina ya nchi hizi mbili znz na cuba?
Hii kauli kubwa na kauli thabit wenye kutaka kuelewe wataelewa wasio taka wataendelea kujitia ujinga na kuendeleza mabishano yasio na mantiki wala mashiko.
Hakika sheikh Muhamed allah amekuruzuku mengi ambayo wengi wetu allah ametunyima.
Hakika yeye ndio mwenye kila sifa na anestahiki kuabudiwa...
Rubawa..Hi familia ya marahem inayoambiwa matajiri sindio waliokuwa wanagombania kodi ya vyumba na bi mkubwa wao mpaka ogomvi unaingiliwa na majirani na yule mbunge wa kule kisiwani?
Hiyo nyumba ya kko anayosema huyu mleta mada ilikuwa mta gani huko kko?
Nyumba ya sharifshamba tu palikuwa...
Kweli viongozi wetu wa dini wa sasa wengi wao wamekuwa ni hatarishi kwa usalama wa taifa.
Leo kiongozi kama huyu anathubutu kukiri mbele ya dunia kama alishiriki kumfanyia mgombea kampeni na kumsaidia ashinde.
Ivi huu ujasiri wa kuhatarisha amani ya taifa wanaupata wapi?
Kabla ya kuuliza hili swali mleta mada ungejiuliza utumishi wa siasa wa hawa marafiki waiwili ktk nyanja tofauti ktk taifa.
Mm nadhani kikwete anetumikia siasa zaidi ktk nafasi tofauti mpaka kufikia uwenyekiti wa chama chake taifa.
Kwani mafanikio ni akili ujanja au ni rizki za allah.
Kumbuka allah humpa amtakae na humyima amtakae.
Lakini hata hivyo alhamdulillah allh ameruzuku kila aina ya mafinikio mzee ms na inshaalla mwnyezimungu amruku na firdaus siku ya huku yeye na familia yake na sisi wajawake amen.
Ndugu zangu,
Hii post hapo juu sikuandika mimi.
Bora umeikanusha mzee nilishangaa sana kuona hayo maneno jinsi yalivyo andikwa sikuzoeya kuona uwandishi wa aina ya kauli hizo kutoka kwako.
Nimejiuliza sana sikupata jibu na kwavile ilikuwa usiku nilipo iyona hiyo post.
Huyu ni mtu mjinga anae...
Nafikiri tutofautishe kulalamika na kudai nadhai nivitu viwili tofauti.
Mm sioni kama waislam wanalalamika nadhani wanadai haki ambazo wanaona wamezikosa na hawastahili kuzikosa.
Ukisoma huu mjadala wapo watu wanasema vipo vithibitisho vya upande mwengune kupendelewa na serikali na wameelezea...
Mm sio kiburi mkuu na wala siringii rizki yeyote aliyo niruzuku allah iwe elimu, afya, watoto, afya,nk.
Na sikuwa na nia ya kukuonyesha kiburi bali imenielewa vibaya tu na sikulamu kwa kuwa huo ndio ukamilifu wetu sisi binaadam.
Binaadam anao uwezo wa kutafsiri kitu kwa aina mbili..Mbaya na...
Unapo sema karibu yote unamaanisha ni sailima ngapi?
Kama serikali haichaguwi mtu kwa dini yake vipi ww ulione la dini za wateule wa serikali ya awamu ya nne au hili umeliona leo tu.
Au ulijua wateule wa serikali ya awamu ya nne ambao karibu wote walikuwa waislam kama ulivyo jiaminisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.