Search results

  1. M

    Lijue serikali/baraza la mawaziri

    Nani huyo mkuu?
  2. M

    Yametimia: Ugumu wa maisha umeanza kujitokeza

    Magufuli anachotaka ni serikali kuwa na uwezo wa kusukuma uchumi katika makundi mbalimbali, mdhamini wa uchumi wa watu katika makundi yao ni serikali, haiwezekani kuwa na uchumi imara wa watu hali serikali haina pesa na njia pekee ya serikali kupata pesa ni kupitia kodi mbalimbali zinazolipwa.
  3. M

    Magufuli kutowalipa mshahara makocha Taifa Stars

    Kila kitabu na zama zake JK alikuwa sahihi kwa wakati huo lakini timu linabutuliwa namna ile kuna haja gani ya kuendelea kutumia pesa za walipakodi kugharamia soka isiyo soka.
  4. M

    Wema Sepetu kwaheri, anachukuliwa hadi na Msukuma!

    Anamaanisha Joseph Kasheku Musukuma mbunge na mfanyabiashara pia huko Geita hamaanishi Musukuma kama kabila.
  5. M

    JWTZ lakabidhiwa jukumu la Ulinzi wa Bandari ya Dsm

    Kipindi hiki cha Magufuli hatutaki tetesi, kila jambo kipindi hiki linaendeshwa kwa umakini hakuna haja ya kuharakia kama huna uhakika na jambo.
  6. M

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Tuwape nafasi viongozi wetu wafanye kazi na zaidi tuwaunge mkono, inchi ilishaharibika hii.
  7. M

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Kwa nini majipu yalishindikana kutumbuliwa wakati wa mfalme yule na sasa yanawezekana...acheni masihara bwana.
  8. M

    Wafanyabiashara wahaha kumuangukia Dk. Magufuli

    Hii serikali ikiendelea hivi bajeti ijayo itakuwa tamu sana maana mipango ya serikali itatekelezeka.
Back
Top Bottom