Search results

  1. Mak Jr

    Wimbo wa zilipendwa

    Hi kwa sana wana JF Naomba msaada kwenu nilikuwa nahitaji link ambayo naweza kuupata wimbo wa zilipendwa au mwenye nao wa "teddy wana Zanzibar" uliopigwa na bendi ya DDC mlimani park okestra. shukran sana!!..
  2. Mak Jr

    Naomba kujuzwa kuhusu madaraja yanayojazwa kwenye leseni ya udereva

    Wana JF naombeni mnijuze kuhusu madaraja anayojaziwa mtu kwenye lesen ya udereva. Unakuta mtu anajaziwa daraja A,A2 bila kujaziwa A1 na A3, sasa je vyombo vya moto hujajaziwa huruhusiwi kuendesha?? iv je ni kweli kuwa ukiwa class C bila kujaziwa madaraja mengine inaruhusiwa kuendesha gar lolote??
  3. Mak Jr

    Nataka kununua GPS

    Naombeni ushaur wana JF ni wapi hapa dsm naweza kupata GPS mpya na original
Back
Top Bottom