Search results

  1. DesertStorm

    Lema ampa makavu Ally Hapi. Amwambia kuwa hii nchi siyo ya mama yake

    Makonda ametua leo Arusha, kazi ipo kweli kweli 😀
  2. DesertStorm

    Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

    Mmhh kweli kuna watanzania huwaambii kitu kwa israel, mpaka bendera kwenye magari yao wameweka na wanatembea nazo 🇮🇱 Al hamduliLlah najivunia sana sana kuwa Muislamu
  3. DesertStorm

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Mimi natumia line mbili, kwahiyo nitakatwa 8000 per month? Au sijaelewa
  4. DesertStorm

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Haimake sense, kwahiyo ikiwa unamiliki line mbili hadi 4 maanake utakatwa 2000×4=8000 per month
  5. DesertStorm

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Tusubiri huo ushahidi kutoka serikalini kama ataleta 😀 Embezzler haloo tunasubiri ushahidi
  6. DesertStorm

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Unamjua kahtaan wewe? Sijui kwanini unawachukia waarabu, usije pata depression bure
  7. DesertStorm

    Zoo kubwa zaidi ya Wanyama kutoka Afrika kuzinduliwa nchini Oman siku ya Eid Pili

    Hamna, oman yenyewe ina chui na swala, tatizo kuna watu wamekariri ni afrika tu ndio kuna wanyama kwingine hamna😃
  8. DesertStorm

    Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

    Hebu nikuulize mleta mada, wewe ni mchagga sio?
  9. DesertStorm

    Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Basi jamani inatosha kumlaumu na kumsema vibaya marehemu jpm SSH Allah akupe umri mrefu wenye kheri nawe
  10. DesertStorm

    Zoo kubwa zaidi ya Wanyama kutoka Afrika kuzinduliwa nchini Oman siku ya Eid Pili

    Una ushahidi gani? South Africa, zambia, india, namibia hamna wanyama?
  11. DesertStorm

    Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    Kwa msaada wa Marekani na westerns sio?
  12. DesertStorm

    Itakuaje Iran ikitumia kombora la Hypersonic?

    Acha wauawe tu hao makafiri, wameshapoteza maelfu ya wasio na hatia, wameuwa mpaka Mitume wa Mwenyezi Mungu! Sio wa kuacha hao
  13. DesertStorm

    Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    Mimi ni wa bara, ila unavyoongea utafikiri peke yako una haki ya kuishi huku, halafu huwa hamfikirii umauti, mpo kidunia sana.
  14. DesertStorm

    Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    Kufunga ni kwa yule alieamini, na sio utamaduni wa Wazanzibari tu! Na hizo mila zenu za kiafrika za kucheza ngoma, kuuwa mnyama na kunywa damu n.k, kujitoboa ulimi, masikio, kuvaa mavazi yasio na stara na kujipaka marangi usoni n.k si katika mila za kiislamu.
  15. DesertStorm

    Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ Al-Baqarah 120 Mayahudi hawawi radhi nawe...
  16. DesertStorm

    Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    Hivi serikali ikiamua ifanye sensa ya DINI aise utakimbia huu uzi, hata hii comment yako utaifuta mlivyo wachache, basi tu Uislamu ni dini ya amani na huruma, ingelikua nchi hii haina waislamu sijui kama wewe au katika familia yenu mgebaki salama. Refer Congo, rwanda na south afrika ambapo...
Back
Top Bottom